Mazito ya Chenge yaibuka
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge ameibuliwa tuhuma nzito kwenye Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma baada ya kudaiwa kuwa aliishawishi kampuni ya Independent Power Solution Limited (IPTL) kuingia mkataba na Tanesco na baadaye kuwa mshauri wa kampuni hiyo binafsi iliyomuingizia Sh1.6 bilioni zinazohusishwa na sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMAZITO YAIBUKA
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Apr
Mazito yaibuka‘magaidi’ Kidatu
Imamu awakana Makwendo na wenzake
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
DEREVA wa bajaji, Alphonce Maurus, aliyebeba watu wanaodhaniwa kuwa watuhumiwa wa ugaidi, Kidatu wilayani Kilombero, ameweka hadharani namna alivyomfahamu mmoja wao.
Amesema mtuhumiwa ambaye aliuawa na wananchi baada ya kumjeruhi polisi, Hamad Makwendo, alijihusisha na mchezo wa kareti na masuala ya dini ya Kiislamu.
Dereva huyo huyo aliwaeleza waandishi wa habari waliofuatilia taarifa za kina za tukio hilo jana kwamba Makwendo...
10 years ago
GPLNDOA YA JIDE, GARDNER MAZITO YAIBUKA
11 years ago
GPLMAZITO YAIBUKA KIFO CHA KIGOGO CCM
10 years ago
GPLMTOTO KUFIA MAHABUSU POLISI MAZITO YAIBUKA
11 years ago
GPLMAZITO 10 YAIBUKA: VIUNGO VYA BINADAMU KUNASWA DAR!
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Aliyetoa siri ya Muhimbili kwa Magufuli, mazito yaibuka
Chacha Makenge.
NA MWANDISHI WETU, Uwazi
DAR ES SALAAM: Yule mgonjwa anayeaminika ndiye aliyetoa siri ya kuharibika kwa mashine za CT Scan na MRI Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Rais Dk. John Magufuli na wiki iliyopita kudai amelazwa chini, Chacha Makenge, amesababisha mapya kuibuka.
Wakizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, maofisa uhusiano wa Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (Moi), Frank Matua na Patrick Mvungi kwa nyakati tofauti, walisema kuwa, mgonjwa huyo hakuwa...
11 years ago
GPLMBONGO ALIYEBAKWA HADI KUFA CHINA... MAZITO YAIBUKA!
10 years ago
VijimamboMAZITO NA MAPYA YAIBUKA BAADA YA SHILOLE KUVALISHWA PETE YA UCHUMBA, UMRI NA MICHEPUKO VYAHUSIKA