MAZITO NA MAPYA YAIBUKA BAADA YA SHILOLE KUVALISHWA PETE YA UCHUMBA, UMRI NA MICHEPUKO VYAHUSIKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-n0CH1WcSCj0/VJq-vj5PxgI/AAAAAAAArSM/bs2KzmB8oZ0/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-06-05%2Bat%2B19.26.42.png)
Chichi Baby akiwa na Baiby baibyyyyyy!!
Mara tu baada ya mwanadada mwaigizaji wa filamu na mtafutaji kunako tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, kuvalishwa pete ya uchumba na mchumba wake, Naftari Mlawa ‘Nuhu Mziwanda’ tayari watu wameanza kuisengenya.Shilole alivalishwa pete hiyo katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika katika ‘apartment’ za Baraka Plaza, Mikocheni jijini Dar ambapo mara baada ya mwanadada huyo kukata keki na kuwalisha watu mbalimbali...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo522 Dec
‘Ndoa inafuata’ adai Nuh Mziwanda baada ya kumvisha pete ya uchumba Shilole
9 years ago
Bongo Movies03 Sep
Haya Ndiyo Maneno ya Wolper Baada ya Kuvalishwa Pete
Staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper ambaye amevishwa pete na mchumba wake, jana kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram alifunguka haya, mara baada ya kubandika picha hizihuku akipost picha kadhaa wakati akivalishwa pete.
”Kweli Maisha uwezi kuyapanga wala kuyajenga zaidi ya Mungu.. dah nimekaa na mwenzangu leo sku nzima nimecheka nimenuna kumbe kuna tukio mbele dah sijategemea kabisa nimekaa maskani niliyozoea kukaa kila sku na Mr wangu sasa leo nashangaa kanunua mashat...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/TQDVHBx0tuUxc9d5-a-W2-oLTYnSzItJoHgqiMv9QqsihFbVWH9w1FcyHaUecKCyvk5ujEkD-pD6oYZdHG1r-l6HtuzE46wJ/SANDRA27.jpg?width=650)
SANDRA: SHILOLE USIDANGANYIKE NA PETE YA UCHUMBA
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
Sandra Amshauri Shilole Asidanganyike na Pete ya Uchumba
Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ amemshauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kupigania kuolewa na mwandani wake, Nuhu Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba siku chache zilizopita kwa kuwa kitendo hicho kwa sasa kimeshazoeleka.
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Sandra alisema anafagilia sana mapenzi ya wawili hao kwani anaona wanaendana pamoja na utofauti wa umri uliopo anamtaka Shilole ahakikishe anaolewa haraka iwezekanavyo kwani hata mwanadada...
10 years ago
Bongo Movies21 Dec
Shilole Avishwa Pete ya Uchumba na Nuh Mziwanda
Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo, Zuwena Mohamed “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili usiku huu akishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.
Tunawatakia kila kheri wapendanao hawa.
10 years ago
GPLPETE YA SHILOLE YAIBUA MAZITO!
10 years ago
Bongo Movies24 Dec
Nyepesi Nyepesi:Pete Ya Shilole Yaibua Mazito!!
Mara tu baada ya mwanadada mwaigizaji wa filamu na mtafutaji kunako tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, kuvalishwa pete ya uchumba na mchumba wake, Naftari Mlawa ‘Nuhu Mziwanda’ tayari watu wameanza kuisengenya.
Shilole alivalishwa pete hiyo katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika katika ‘apartment’ za Baraka Plaza, Mikocheni jijini Dar ambapo mara baada ya mwanadada huyo kukata keki na kuwalisha watu mbalimbali waliohudhuria, ndipo Nuhu alipomsapraizi...
10 years ago
Vijimambo10 Nov
BAADA YA SITTI KUVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014 MAPYA YAIBUKA
Stori: Chande Abdallah, Deogratius Mongela na Musa Mateja wa GPL
TENA! Saa chache tu baada ya Miss Tanzania 2014 aliyezua tafrani la kuchakachua umri kwa kujipunguzia miaka 2 ya kuzaliwa, Sitti Abbas Mtemvu kujisalimisha kwa kujivua taji mwenyewe, mapya yameibuka na Ijumaa Wikienda lina mzigo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Jac_mO-hpH4/XuDobazVvCI/AAAAAAALtYU/Guukt9DT4HgCZAM1fXDIr1xejKEHbP3CwCLcBGAsYHQ/s72-c/molinga%252Bpic.jpg)
BAADA YA KIKOSI CHA YANGA KUONDOKA BILA MSHAMBULIAJI DAVID MOLINGA MAPYA YAIBUBA,ATOA MANENO MAZITO
![](https://1.bp.blogspot.com/-Jac_mO-hpH4/XuDobazVvCI/AAAAAAALtYU/Guukt9DT4HgCZAM1fXDIr1xejKEHbP3CwCLcBGAsYHQ/s640/molinga%252Bpic.jpg)
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
NAONDOKA Yanga!Hiyo ni kauli ya Mshambuliaji wa timu ya Yanga David Molinga 'Falcao' amesema baada ya mkataba wake ambao umbakia miezi miwili kuanzia sasa ataondoka katika kikosi hicho huku akitoa tuhuma kwa Kocha Msadizi wa timu hiyo Boniface Mkwasa kuwa hampendi.
Molinga aameeleza hayo leo Juni 10,mwaka 2020 wakati akihojiwa na watangazaji wa kipindi cha Sports Arena kinachorushwa na Wasafi FM ambapo ametumia nafasi hiyo kufafanua mambo mbalimbali yanayomhusu yeye...