SANDRA: SHILOLE USIDANGANYIKE NA PETE YA UCHUMBA
![](http://api.ning.com/files/TQDVHBx0tuUxc9d5-a-W2-oLTYnSzItJoHgqiMv9QqsihFbVWH9w1FcyHaUecKCyvk5ujEkD-pD6oYZdHG1r-l6HtuzE46wJ/SANDRA27.jpg?width=650)
Staa wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’. NA Mayasa Maliwata STAA wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ amemshauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kupigania kuolewa na mwandani wake, Nuhu Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba siku chache zilizopita kwa kuwa kitendo hicho kwa sasa kimeshazoeleka. Staa wa muziki wa mduara Zuwena Mohammed ‘Shilole’akivikwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
Sandra Amshauri Shilole Asidanganyike na Pete ya Uchumba
Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ amemshauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kupigania kuolewa na mwandani wake, Nuhu Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba siku chache zilizopita kwa kuwa kitendo hicho kwa sasa kimeshazoeleka.
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Sandra alisema anafagilia sana mapenzi ya wawili hao kwani anaona wanaendana pamoja na utofauti wa umri uliopo anamtaka Shilole ahakikishe anaolewa haraka iwezekanavyo kwani hata mwanadada...
10 years ago
Bongo Movies21 Dec
Shilole Avishwa Pete ya Uchumba na Nuh Mziwanda
Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo, Zuwena Mohamed “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili usiku huu akishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.
Tunawatakia kila kheri wapendanao hawa.
10 years ago
Bongo522 Dec
‘Ndoa inafuata’ adai Nuh Mziwanda baada ya kumvisha pete ya uchumba Shilole
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-n0CH1WcSCj0/VJq-vj5PxgI/AAAAAAAArSM/bs2KzmB8oZ0/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-06-05%2Bat%2B19.26.42.png)
MAZITO NA MAPYA YAIBUKA BAADA YA SHILOLE KUVALISHWA PETE YA UCHUMBA, UMRI NA MICHEPUKO VYAHUSIKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-n0CH1WcSCj0/VJq-vj5PxgI/AAAAAAAArSM/bs2KzmB8oZ0/s1600/Screen%2BShot%2B2014-06-05%2Bat%2B19.26.42.png)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/WOLPER-11.jpg)
PETE YA UCHUMBA YAMLIZA WOLPER
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Tyga amvalisha pete ya uchumba Kylie!
Tyga akiwa na mpenzi wake Kylie Jenner.
HUENDA sikukuu ya Krismasi ilikuwa poa kwa staa wa Hip Hop, Tyga kwa kumvalisha pete mdogo wa mwanamitindo, Kim Kardashian, Kylie Jenner.
Kylie Jenner akiwa amevaa pete hiyo.
Uthibitisho huo umejidhihirisha juzi kati baada ya mashabiki kubaki mdomo wazi kutokana na picha aliyoposti Kylie kwenye ukurasa wake wa Instagram pamoja na ‘Applikesheni’ yake inaoonesha pete ya uchumba.
Katika kurasa zake hizo, Kylie aliandika;
“Kila mwaka katika msimu huu wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC2Zt5PTB*9R-dmR4hI*XrpxrM2VG2qtUTC3SKTBVyfDx1zGbgaad0UxiK2Xck0altHlHAiZxyAHjvz5sHx8X0JA/lucykomba.jpg)
LUCY KOMBA ANASWA NA PETE YA UCHUMBA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7NaiIeW8V2FT7C*e7OuU1BKb-p5WK53XxFA85X6Kb6GwgLmtvuJyMVbUklyJRtpinUAmVYtNB9FAssqTRTi72yTD6/wpidlulu.jpg?width=650)
PETE YA UCHUMBA YA LULU YAWA GUMZO
9 years ago
Mtanzania18 Aug
Huddah Monroe avishwa pete ya uchumba
Nairobi, Kenya
MREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita.
Mwanamitindo huyo mwenye umaarufu mkubwa nchini humo, ameamua kuvunja ukimya wake na kuionesha pete hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram.
“Kila kitu kipo wazi, lakini muda ukifika watu watamjua nani aliyenivisha pete hii, lakini kwa sasa watu wanatakiwa wajue nina pete ya uchumba.
“Kwa sasa naweza kusema sihitaji usumbufu kutoka kwa mwanamume yeyote, huu ni muda wangu wa...