Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PETE YA UCHUMBA YAMLIZA WOLPER

Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ na mchumba wake. Stori: Mwandishi wetu STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ amejikuta akitoa machozi ya furaha baada ya kuvalishwa pete ya uchumba na kijana anayedaiwa kuwa ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). ....Wakifurahia kwa pamoja. Wolper ameitundika picha yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram, akiwa na kijana huyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Huddah Monroe avishwa pete ya uchumba

Huddah-Monroe-Image-from-izvipiNairobi, Kenya

MREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita.

Mwanamitindo huyo mwenye umaarufu mkubwa nchini humo, ameamua kuvunja ukimya wake na kuionesha pete hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram.

“Kila kitu kipo wazi, lakini muda ukifika watu watamjua nani aliyenivisha pete hii, lakini kwa sasa watu wanatakiwa wajue nina pete ya uchumba.

“Kwa sasa naweza kusema sihitaji usumbufu kutoka kwa mwanamume yeyote, huu ni muda wangu wa...

 

10 years ago

GPL

SANDRA: SHILOLE USIDANGANYIKE NA PETE YA UCHUMBA

Staa wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’. NA Mayasa Maliwata
STAA wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ amemshauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kupigania kuolewa na mwandani wake, Nuhu Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba siku chache zilizopita kwa kuwa kitendo hicho kwa sasa kimeshazoeleka. Staa wa muziki wa mduara Zuwena Mohammed ‘Shilole’akivikwa...

 

10 years ago

GPL

PETE YA UCHUMBA YA LULU YAWA GUMZO

Mwandishi wetu
MSHTUKO! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amezua gumzo ukumbini baada ya kuonekana akiwa amevaa pete iliyoaminika kuwa ni ya uchumba na kusababisha minong’ono miongoni mwa mashabiki wake. Mpango mzima ulijiri wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Sinema wa Mlimani City (Cinemax) kulipokuwa na uzinduzi wa sinema ya 10 Bora ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talent, mwaka...

 

9 years ago

Global Publishers

Tyga amvalisha pete ya uchumba Kylie!

kylie-jenner-18-birthday-party-21-tyga-ffnTyga akiwa na mpenzi wake Kylie Jenner.

HUENDA sikukuu ya Krismasi ilikuwa poa kwa staa wa Hip Hop, Tyga kwa kumvalisha pete mdogo wa mwanamitindo, Kim Kardashian, Kylie Jenner.

RING

Kylie Jenner akiwa amevaa pete hiyo.

Uthibitisho huo umejidhihirisha juzi kati baada ya mashabiki kubaki mdomo wazi kutokana na picha aliyoposti Kylie kwenye ukurasa wake wa Instagram pamoja na ‘Applikesheni’ yake inaoonesha pete ya uchumba.

Katika kurasa zake hizo, Kylie aliandika;

“Kila mwaka katika msimu huu wa...

 

11 years ago

GPL

LUCY KOMBA ANASWA NA PETE YA UCHUMBA

Stori:Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba hivi karibuni amenaswa akiwa amevaa pete ya uchumba huku tetesi zilizopo zikidai kuwa anatarajia kufunga ndoa na ‘mtu’ wake ambaye si raia wa Tanzania. Msanii wa filamu Bongo, Lucy Komba hivi karibuni amenaswa akiwa amevaa pete ya uchumba huku tetesi zilizopo zikidai kuwa anatarajia kufunga ndoa Lucy alipigwa chapo akiwa na pete hiyo kwenye msiba wa...

 

11 years ago

GPL

MAI AVISHWA PETE YA UCHUMBA, NDOA UPYA

Stori: Hamida Hassan
MTANGAZAJI ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’hivi karibuni alivishwa upya pete ya uchumba na ya ndoa baada ya zile za wali kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Mtangazaji ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’ Aliyemfanyia tukio hilo ni mumewe aitwaye Shaa na baada ya vidole vyake kupendeza tena alitupia picha...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shilole Avishwa Pete ya Uchumba na Nuh Mziwanda

Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo, Zuwena Mohamed  “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili  usiku huu akishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.

Tunawatakia kila kheri wapendanao hawa.

 

11 years ago

GPL

PENNY ACHUMBIWA, AONESHA PETE YA UCHUMBA INSTAGRAM

Mtangazaji wa kipindi cha Genge cha EFM Radio , Penniel Mwingilwa 'VJ Penny'.
Penniel Mwingilwa amepost kwenye Instagram picha inayoonesha mkono wake wa kushoto ukiwa juu ya usukani wa gari ambao una pete katika kidole cha chanda. “Mdogo hicho nini kwenye kidolee?? Kabla sijaanza kurukaruka kwa…

 

10 years ago

Bongo Movies

Sandra Amshauri Shilole Asidanganyike na Pete ya Uchumba

Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ amemshauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kupigania kuolewa na mwandani wake, Nuhu Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba siku chache zilizopita kwa kuwa kitendo hicho kwa sasa kimeshazoeleka.

Akipiga stori na paparazi wa GPL, Sandra alisema anafagilia sana mapenzi ya wawili hao kwani anaona wanaendana pamoja na utofauti wa umri uliopo anamtaka Shilole ahakikishe anaolewa haraka iwezekanavyo kwani hata mwanadada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani