Huddah Monroe avishwa pete ya uchumba
Nairobi, Kenya
MREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita.
Mwanamitindo huyo mwenye umaarufu mkubwa nchini humo, ameamua kuvunja ukimya wake na kuionesha pete hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram.
“Kila kitu kipo wazi, lakini muda ukifika watu watamjua nani aliyenivisha pete hii, lakini kwa sasa watu wanatakiwa wajue nina pete ya uchumba.
“Kwa sasa naweza kusema sihitaji usumbufu kutoka kwa mwanamume yeyote, huu ni muda wangu wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MAI AVISHWA PETE YA UCHUMBA, NDOA UPYA
10 years ago
Bongo Movies21 Dec
Shilole Avishwa Pete ya Uchumba na Nuh Mziwanda
Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo, Zuwena Mohamed “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili usiku huu akishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.
Tunawatakia kila kheri wapendanao hawa.
10 years ago
Bongo528 Sep
Picha: Mwimbaji wa ‘Kuchi Kuchi’, J’odie wa Nigeria avishwa pete ya uchumba
11 years ago
CloudsFM28 Jul
HUDDAH MONROE AMKUBALI ALI KIBA
STAA asiyekwisha vituko kutoka nchini Kenya Huddah Monroe ameonyesha kumkubali staa wa Bongo Fleva,Ally Kiba kutokana na kazi nzuri anayofanya kwenye game hiyo.
Kupitia account ya Instagram Huddah aliandika ‘’Whaaaatttt!I was wondering where @OfficialAlkiba had gone to!Sauti ya kumtoa nyoka pangoni!Stii my favourite Tanzania artist,the real definition of Bongo Flava!Duh1
11 years ago
GPL
HUDDAH MONROE AZIDI KUANIKA PICHA ZAKE
10 years ago
Bongo515 Dec
Picha: Huddah Monroe aringishia mkoko wake mpya
11 years ago
Bongo529 Jul
Huddah Monroe: ‘Alikiba is the real definition of Bongo Flava’, akunwa na Mwana
11 years ago
Bongo505 Aug
Huddah Monroe na Vera Sidika waendelea kurushiana matusi, ya leo ni hatari!!
10 years ago
Vijimambo