Huddah Monroe: ‘Alikiba is the real definition of Bongo Flava’, akunwa na Mwana
Aliyewahi kuwa mwakilishi wa Kenya kwenye shindano la Big Brother Africa, Huddah Monroe anaamini Alikiba ndiye msanii anayebeba maana halisi ya muziki wa Bongo Flava. Huddah anadai alikuwa hajui ni wapi alipokuwa amepotelea staa huyo lakini baada kusikia wimbo wake mpya ‘Mwana’, amethibitisha kuwa Alikiba ni msanii bora kwake. “Whaaaaatttttt! I was wondering where Alikiba […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania18 Aug
Huddah Monroe avishwa pete ya uchumba
Nairobi, Kenya
MREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita.
Mwanamitindo huyo mwenye umaarufu mkubwa nchini humo, ameamua kuvunja ukimya wake na kuionesha pete hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram.
“Kila kitu kipo wazi, lakini muda ukifika watu watamjua nani aliyenivisha pete hii, lakini kwa sasa watu wanatakiwa wajue nina pete ya uchumba.
“Kwa sasa naweza kusema sihitaji usumbufu kutoka kwa mwanamume yeyote, huu ni muda wangu wa...
11 years ago
CloudsFM28 Jul
HUDDAH MONROE AMKUBALI ALI KIBA
STAA asiyekwisha vituko kutoka nchini Kenya Huddah Monroe ameonyesha kumkubali staa wa Bongo Fleva,Ally Kiba kutokana na kazi nzuri anayofanya kwenye game hiyo.Kupitia account ya Instagram Huddah aliandika ‘’Whaaaatttt!I was wondering where @OfficialAlkiba had gone to!Sauti ya kumtoa nyoka pangoni!Stii my favourite Tanzania artist,the real definition of Bongo Flava!Duh1
11 years ago
GPLHUDDAH MONROE AZIDI KUANIKA PICHA ZAKE
10 years ago
Bongo515 Dec
Picha: Huddah Monroe aringishia mkoko wake mpya
11 years ago
Bongo505 Aug
Huddah Monroe na Vera Sidika waendelea kurushiana matusi, ya leo ni hatari!!
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Bongo520 Feb
Picha: Huddah Monroe achefua tena, atupia picha akiwa uc*i kitandani! (18+)
5 years ago
MichuziBONGO FLAVA COMING OF BONGO POLITICAL AGE
When Joseph Mbilinyi alias Mr. Two, or Too Proud and now Sugu, was sworn in as Member of Parliament for Mbeya urban in 2010, he sent buzzing vibes to the Tanzania music industry. It was surreal to imagine that a Bongo Flava artist barred its reputation at the time, making it to its most potent legislative organ. Sugu, known for his strong lyrical messages, is regarded as an epitome of Bongo Fleva entrance into politics by being brave enough to challenge the status quo of...
11 years ago
ALIKIBA25 Jul