Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Huddah Monroe na Vera Sidika waendelea kurushiana matusi, ya leo ni hatari!!

Warembo wa Kenya waliokuwa marafiki wa karibu, Huddah Monroe na Vera Sidika wameendelea na drama yao ya kurushiana vijembe kwenye mitandao ya kijamii. Leo Vera amemwamkia Huddah na kuwaeleza followers wake wa Instagram kuwa mwakilishi huyo wa Kenya kwenye shindano la Big Brother hana lolote na hata madai kuwa anamiliki kampuni ya masuala ya nyumba […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Huddah Monroe avishwa pete ya uchumba

Huddah-Monroe-Image-from-izvipiNairobi, Kenya

MREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita.

Mwanamitindo huyo mwenye umaarufu mkubwa nchini humo, ameamua kuvunja ukimya wake na kuionesha pete hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram.

“Kila kitu kipo wazi, lakini muda ukifika watu watamjua nani aliyenivisha pete hii, lakini kwa sasa watu wanatakiwa wajue nina pete ya uchumba.

“Kwa sasa naweza kusema sihitaji usumbufu kutoka kwa mwanamume yeyote, huu ni muda wangu wa...

 

11 years ago

CloudsFM

HUDDAH MONROE AMKUBALI ALI KIBA

STAA asiyekwisha vituko kutoka nchini Kenya Huddah Monroe ameonyesha kumkubali staa wa Bongo Fleva,Ally Kiba kutokana na kazi nzuri anayofanya kwenye game hiyo.Kupitia account ya Instagram Huddah aliandika ‘’Whaaaatttt!I was wondering where @OfficialAlkiba had gone to!Sauti ya kumtoa nyoka pangoni!Stii my favourite Tanzania artist,the real definition of Bongo Flava!Duh1

 

11 years ago

GPL

HUDDAH MONROE AZIDI KUANIKA PICHA ZAKE

MREMBO kutoka nchini Kenya Huddah Monroe, ameendelea kutupia picha zake za 'utupu' kupitia mtandao wa Instagram kama kawaida yake. Staa huyo ambaye kwa sasa yupo Abuja nchini Nigeria ametupia picha zake akijiachia na mavazi ya kuogelea huku nyingine akiwa na mwenzake.…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Huddah Monroe aringishia mkoko wake mpya

Kwa mujibu wa Huddah Monroe, Chrismas imekuja mapema. Mrembo huyo wa Kenya ameshare picha ya kile alichodai ni gari yake mpya. Huddah akiwa mbele ya gari lake i”Ombea adui yako aishi siku nyingi Ili unapo barikiwa ajioneeeee,” ameandika Huddah kwenye picha hiyo. “No one can block the blessings that God has planned for you because […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani