HUDDAH MONROE AZIDI KUANIKA PICHA ZAKE
![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsum4JyolUDDZgZsGhuZmuxRzADfp6BW0VR3tp2S2WTe2T0tnmhI0fc8ZNI0BFXF2fJc8zh1vPiTBzC0cCSMmsr7T/huddah.jpg?width=650)
MREMBO kutoka nchini Kenya Huddah Monroe, ameendelea kutupia picha zake za 'utupu' kupitia mtandao wa Instagram kama kawaida yake. Staa huyo ambaye kwa sasa yupo Abuja nchini Nigeria ametupia picha zake akijiachia na mavazi ya kuogelea huku nyingine akiwa na mwenzake.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo520 Feb
Picha: Huddah Monroe achefua tena, atupia picha akiwa uc*i kitandani! (18+)
10 years ago
Bongo515 Dec
Picha: Huddah Monroe aringishia mkoko wake mpya
9 years ago
Mtanzania18 Aug
Huddah Monroe avishwa pete ya uchumba
Nairobi, Kenya
MREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita.
Mwanamitindo huyo mwenye umaarufu mkubwa nchini humo, ameamua kuvunja ukimya wake na kuionesha pete hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram.
“Kila kitu kipo wazi, lakini muda ukifika watu watamjua nani aliyenivisha pete hii, lakini kwa sasa watu wanatakiwa wajue nina pete ya uchumba.
“Kwa sasa naweza kusema sihitaji usumbufu kutoka kwa mwanamume yeyote, huu ni muda wangu wa...
11 years ago
CloudsFM28 Jul
HUDDAH MONROE AMKUBALI ALI KIBA
STAA asiyekwisha vituko kutoka nchini Kenya Huddah Monroe ameonyesha kumkubali staa wa Bongo Fleva,Ally Kiba kutokana na kazi nzuri anayofanya kwenye game hiyo.
Kupitia account ya Instagram Huddah aliandika ‘’Whaaaatttt!I was wondering where @OfficialAlkiba had gone to!Sauti ya kumtoa nyoka pangoni!Stii my favourite Tanzania artist,the real definition of Bongo Flava!Duh1
11 years ago
Bongo505 Aug
Huddah Monroe na Vera Sidika waendelea kurushiana matusi, ya leo ni hatari!!
11 years ago
Bongo529 Jul
Huddah Monroe: ‘Alikiba is the real definition of Bongo Flava’, akunwa na Mwana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/LYZFIUrxeOA/default.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Mbatia azidi kuanika madudu ya elimu
MBUNGE wa kuteuliwa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), amesema wasilaumiwe walimu na wanafunzi kwa matokeo mabaya katika sekta ya elimu, kwamba lawama hizo zielekezwe kwa Serikali iliyoshindwa kutoa majibu ya tume ya...