PENNY ACHUMBIWA, AONESHA PETE YA UCHUMBA INSTAGRAM

Mtangazaji wa kipindi cha Genge cha EFM Radio , Penniel Mwingilwa 'VJ Penny'. Penniel Mwingilwa amepost kwenye Instagram picha inayoonesha mkono wake wa kushoto ukiwa juu ya usukani wa gari ambao una pete katika kidole cha chanda. “Mdogo hicho nini kwenye kidolee?? Kabla sijaanza kurukaruka kwa…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Penny achumbiwa, amsahau Diamond
HATIMAYE aliyekuwa mpenzi wa staa wa muziki wa Bongo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ amesema amepona maumivu ya moyo baada ya kuvishwa pete ya uchumba. Penny ambaye...
10 years ago
GPL
PETE YA UCHUMBA YAMLIZA WOLPER
11 years ago
GPL
LUCY KOMBA ANASWA NA PETE YA UCHUMBA
10 years ago
Mtanzania18 Aug
Huddah Monroe avishwa pete ya uchumba
Nairobi, Kenya
MREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita.
Mwanamitindo huyo mwenye umaarufu mkubwa nchini humo, ameamua kuvunja ukimya wake na kuionesha pete hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram.
“Kila kitu kipo wazi, lakini muda ukifika watu watamjua nani aliyenivisha pete hii, lakini kwa sasa watu wanatakiwa wajue nina pete ya uchumba.
“Kwa sasa naweza kusema sihitaji usumbufu kutoka kwa mwanamume yeyote, huu ni muda wangu wa...
10 years ago
GPL
PETE YA UCHUMBA YA LULU YAWA GUMZO
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Tyga amvalisha pete ya uchumba Kylie!
Tyga akiwa na mpenzi wake Kylie Jenner.
HUENDA sikukuu ya Krismasi ilikuwa poa kwa staa wa Hip Hop, Tyga kwa kumvalisha pete mdogo wa mwanamitindo, Kim Kardashian, Kylie Jenner.
Kylie Jenner akiwa amevaa pete hiyo.
Uthibitisho huo umejidhihirisha juzi kati baada ya mashabiki kubaki mdomo wazi kutokana na picha aliyoposti Kylie kwenye ukurasa wake wa Instagram pamoja na ‘Applikesheni’ yake inaoonesha pete ya uchumba.
Katika kurasa zake hizo, Kylie aliandika;
“Kila mwaka katika msimu huu wa...
10 years ago
GPL
SANDRA: SHILOLE USIDANGANYIKE NA PETE YA UCHUMBA
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
Sandra Amshauri Shilole Asidanganyike na Pete ya Uchumba
Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ amemshauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kupigania kuolewa na mwandani wake, Nuhu Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba siku chache zilizopita kwa kuwa kitendo hicho kwa sasa kimeshazoeleka.
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Sandra alisema anafagilia sana mapenzi ya wawili hao kwani anaona wanaendana pamoja na utofauti wa umri uliopo anamtaka Shilole ahakikishe anaolewa haraka iwezekanavyo kwani hata mwanadada...
11 years ago
GPL
MAI AVISHWA PETE YA UCHUMBA, NDOA UPYA