Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADA YA KIKOSI CHA YANGA KUONDOKA BILA MSHAMBULIAJI DAVID MOLINGA MAPYA YAIBUBA,ATOA MANENO MAZITO






Na Said Mwishehe,Michuzi TV

NAONDOKA Yanga!Hiyo ni kauli ya Mshambuliaji wa timu ya Yanga David Molinga 'Falcao' amesema baada ya mkataba wake ambao umbakia miezi miwili kuanzia sasa ataondoka katika kikosi hicho huku akitoa tuhuma kwa Kocha Msadizi wa timu hiyo Boniface Mkwasa kuwa hampendi.

Molinga aameeleza hayo leo Juni 10,mwaka 2020 wakati akihojiwa na watangazaji wa kipindi cha Sports Arena kinachorushwa na Wasafi FM ambapo ametumia nafasi hiyo kufafanua mambo mbalimbali yanayomhusu yeye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAZITO NA MAPYA YAIBUKA BAADA YA SHILOLE KUVALISHWA PETE YA UCHUMBA, UMRI NA MICHEPUKO VYAHUSIKA

Chichi Baby akiwa na Baiby baibyyyyyy!!Mara tu baada ya mwanadada mwaigizaji wa filamu na mtafutaji kunako tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, kuvalishwa pete ya uchumba na mchumba wake, Naftari Mlawa ‘Nuhu Mziwanda’ tayari watu wameanza kuisengenya.Shilole alivalishwa pete hiyo katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika katika ‘apartment’ za Baraka Plaza, Mikocheni jijini Dar ambapo mara baada ya mwanadada huyo kukata keki na kuwalisha watu mbalimbali...

 

5 years ago

Michuzi

YANGA WATINGA BUNGENI BILA MSHAMBULIAJI NYOTA MORRISON....SPIKA NDUGAI AWAULIZA YUKO WAPO?

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
KIKOSI cha wachezaji wa timu ya Yanga pamoja a viongozi wao leo Juni 15,2020 wametinga Bungeni ambapo shagwe ziliibuka wakati wakisalimia huku Spika Job Ndugai akiuliza alipo mshambuli mahiri wa timu hiyo Benard Morrison.

Morrison ni yule mchezaji ambaye amejizolea umaarufu tangu alipofanikisha kufunga bao moja dhidi ya watani wao wa jadi Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo Yanga waliibuka na ushindi.Juzi wakati Waziri wa Fedha na Mipango...

 

10 years ago

GPL

Pluijm atoa siri ya Okwi kuondoka Yanga

Aliyewahi kuwa kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Na Ibrahim Mussa
AMEMWAGA mboga! Aliyewahi kuwa kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, ameibuka na kusema kuwa kitendo alichokifanya mshambuliaji Emmanuel Okwi cha kutimkia Simba ni sahihi kwani viongozi wa Yanga hawakuwa wakimjali kipindi anachezea timu yao. Pluijm ambaye alifanya kazi na Mganda huyo katika kikosi cha timu hiyo msimu uliopita kabla ya...

 

9 years ago

Global Publishers

Yanga Vs Mbeya City Kikosi cha kwanza Yanga hiki hapa

SIMBA-YANGA-3.jpg
Wilbert Molandi na Ibrahim Mussa
YANGA imeendelea kuonyesha kuwa haitaki utani katika msimu huu wa 2015/16, hiyo ni kutokana na mazoezi ambayo timu hiyo imekuwa ikiyafanya lakini zaidi ni kuwa kikosi cha kwanza kipo kamili.
Yanga itakutana na Mbeya City, kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara lakini tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameshapata kikosi kitakachocheza mchezo huo na mbadala wa wale ambao watapata matatizo au kuwa nje ya uwanja kwa...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya kudhibitiwa na Mgambo Dec 12, Yanga yafanikiwa kuondoka na point 3 dhidi ya African Sports

Jumatano ya December 16 Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea kwa mchezo mmoja kupigwa katika dimba la Mkwakwani Tanga. Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara klabu ya Dar Es Salaam Young African walikuwa wageni wa klabu ya African Sports ya Tanga. Yanga ambao waliambulia sare ya bila kufungana katika dimba la Mkwakwani December 12 […]

The post Baada ya kudhibitiwa na Mgambo Dec 12, Yanga yafanikiwa kuondoka na point 3 dhidi ya African Sports appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

GPL

KIKOSI CHA YANGA MECHI YA LEO

LINE-UP: Deogratias Munish "Dida" – 30, Mbuyu Twite – 6,  Oscar Joshua – 4,  Nadir Haroub "Cannavaro" - 23 (C), Kelvin Yondani "Cotton" – 6, Frank Domayo "Chumvi" – 18, Saimon Msuva – 27, Haruna Niyonzima – 8, Emmanuel Okwi – 25,  Mrisho Ngasa – 17,  Hamisi Kizza - 20 SUBS: Juma Kaseja – 1, Juma Abdul – 12, David Luhende – 3, Athuman...

 

10 years ago

GPL

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOKWAANA NA PRISONS LEO

Kikosi cha Yanga SC. 1. Deo Munish "Dida" - 30
2. Juma Abdul - 12
3. Edward Charles - 28
4. Nadir Haroub "Cannavaro" - 23
5. Kelvin Yondani "Cotton" - 5…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani