Pluijm atoa siri ya Okwi kuondoka Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*C1ULBW*XdrfP-wCXKwU8kE0PTCLgEfOtnGG7zoBjJ8eCuGmo3FDNARYIkVjSwFbm8pAMOGThwF-JekAnIX1G-M/pluijm.jpg)
Aliyewahi kuwa kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Na Ibrahim Mussa AMEMWAGA mboga! Aliyewahi kuwa kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, ameibuka na kusema kuwa kitendo alichokifanya mshambuliaji Emmanuel Okwi cha kutimkia Simba ni sahihi kwani viongozi wa Yanga hawakuwa wakimjali kipindi anachezea timu yao. Pluijm ambaye alifanya kazi na Mganda huyo katika kikosi cha timu hiyo msimu uliopita kabla ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo02 Oct
Pluijm atoboa siri Yanga
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema siri kubwa ya kikosi chake kufanikiwa kuvunja mwiko wa kuifunga Mtibwa Sugar ilitokana na wachezaji wake kucheza kwa nidhamu ya kiufundi.
10 years ago
Mtanzania14 May
Pluijm atoa onyo Yanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga, Hans Van Der Pluijm, amewaonya viongozi wa klabu hiyo na kuwataka wahakikishe wanafanya usajili utakaoiletea timu mafanikio na siyo ubabaishaji.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alisema kipindi cha usajili kimekuwa na matukio ya ajabu ambayo hupelekea mipango ya mwalimu kuvurugika kutokana na viongozi kufanya maamuzi yao binafsi.
Pluijm ambaye anatarajia kuondoka nchini Jumamosi kuelekea...
10 years ago
Vijimambo18 Dec
Mkwasa atoa siri nzito Yanga
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Boniphace-Mkwasa--December18-2014.jpg)
Ofisa Mtaalam wa Mafunzo wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Mkwasa amesema ana mkataba wa kuinoa Yanga aliopewa na uongozi wa Wanajangwani kabla ya kuchezwa kwa mechi ya 'Nani Mtani Jembe 2'.
Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Jumamosi, Yanga ilipokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Simba, matokeo ambayo yamewafukuzisha kazi aliyekuwa Kocha Mkuu, Mbrazil Márcio...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Jac_mO-hpH4/XuDobazVvCI/AAAAAAALtYU/Guukt9DT4HgCZAM1fXDIr1xejKEHbP3CwCLcBGAsYHQ/s72-c/molinga%252Bpic.jpg)
BAADA YA KIKOSI CHA YANGA KUONDOKA BILA MSHAMBULIAJI DAVID MOLINGA MAPYA YAIBUBA,ATOA MANENO MAZITO
![](https://1.bp.blogspot.com/-Jac_mO-hpH4/XuDobazVvCI/AAAAAAALtYU/Guukt9DT4HgCZAM1fXDIr1xejKEHbP3CwCLcBGAsYHQ/s640/molinga%252Bpic.jpg)
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
NAONDOKA Yanga!Hiyo ni kauli ya Mshambuliaji wa timu ya Yanga David Molinga 'Falcao' amesema baada ya mkataba wake ambao umbakia miezi miwili kuanzia sasa ataondoka katika kikosi hicho huku akitoa tuhuma kwa Kocha Msadizi wa timu hiyo Boniface Mkwasa kuwa hampendi.
Molinga aameeleza hayo leo Juni 10,mwaka 2020 wakati akihojiwa na watangazaji wa kipindi cha Sports Arena kinachorushwa na Wasafi FM ambapo ametumia nafasi hiyo kufafanua mambo mbalimbali yanayomhusu yeye...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/adHomLpcUH9QaFQl94kui-cYS3KHUGMAtIXhJHk9DCZcCKdUOD6o4Ztd-74*TPiIHnaonxuqn-oubwGwK3rUh2NaFaYjgwdI/kocha.jpg?width=650)
Pluijm amtema Okwi kikosini
9 years ago
Habarileo24 Dec
Pluijm afichua siri ya usajili
KOCHA wa Yanga Mholanzi Hans van der Pluijm, ameweka wazi sababu ya kuendelea kusajili kwenye dirisha dogo ni kuifanya timu hiyo iwe bora Afrika. Alisema lengo ni kuepuka kikosi chake kutegemea baadhi ya wachezaji pindi wanapokuwa katika ushindani mkubwa kama ilivyo sasa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4iGGfOEDayv3DMghE47Za9r9mXJ*dipYkBEQ*cMBBS5XaFW5ytF1JtoVETfYq7B*Iw*H6mRjS5FeZ8WG3sB*q1i1J6w1kzME/van.gif)
Pluijm: Nimenasa siri zote za Platinum
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N5U6*NJ-NGwr5f45G5xRhkdT7cCt8SVVVLk*yNrZ1J*UfVGRyuF1GfnsLSyzQLOZ23JsKDKnTiJYK5XMQPKZOao/owino.gif?width=650)
Owino amwaga siri za Okwi
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Okwi afichua siri Simba