Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pluijm atoboa siri Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema siri kubwa ya kikosi chake kufanikiwa kuvunja mwiko wa kuifunga Mtibwa Sugar ilitokana na wachezaji wake kucheza kwa nidhamu ya kiufundi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Pluijm atoa siri ya Okwi kuondoka Yanga

Aliyewahi kuwa kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Na Ibrahim Mussa
AMEMWAGA mboga! Aliyewahi kuwa kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, ameibuka na kusema kuwa kitendo alichokifanya mshambuliaji Emmanuel Okwi cha kutimkia Simba ni sahihi kwani viongozi wa Yanga hawakuwa wakimjali kipindi anachezea timu yao. Pluijm ambaye alifanya kazi na Mganda huyo katika kikosi cha timu hiyo msimu uliopita kabla ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Zitto atoboa siri

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, amemlipua Mbunge wa Kishapu mkoani Shinyanga, Suleimani Nchambi (CCM), kuwa ni kati ya waliohusika kugawa rushwa y ash milioni...

 

11 years ago

GPL

HAUSIGELI ATOBOA SIRI

Stori: Haruni Sanchawa
NYUMAya pazia! Yule msichana Yusta Lucas (20) mwenyeji wa Mkoa wa Tabora ambaye alifika jijini Dar kufanya kazi ya u-hausigeli na kufanyiwa ukatili wa kutisha na bosi wake kisha habari zake kuandikwa, ametoa siri nzito, Uwazi limemegewa. Yusta Lucas akionyesha majeraha ya meno aliyong'atwa na bosi yake. Akizungumza kwa uchungu na gazeti hili akiwa wodini kwenye Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Kinondoni,...

 

11 years ago

Mwananchi

Msekwa atoboa siri ya Muungano

>Wiki mbili kabla ya Tanzania kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Pius Msekwa ametoboa siri ya Muungano huo akisema “mchakato wa kuundwa kwake ulifanywa kwa siri na haraka sana,” kutokana na upepo wa kisiasa na usalama wa kipindi hicho.

 

10 years ago

Mtanzania

Mlinzi wa Dk. Slaa atoboa siri

NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
TUHUMA za mauaji ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, zimeendelea kutikisa pembe za nchi huku mlinzi wake binafsi, Khalid Kagenzi, akitoboa siri za mkasa huo.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mabere Marando, kudai mlinzi huyo alikuwa akitumiwa na vyombo vya usalama kwa lengo la kumuua Dk. Slaa.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kagenzi alisema...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkono atoboa siri za Zitto

Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono ametoa ufafanuzi juu ya uhusiano wake na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe.

 

10 years ago

Bongo Movies

Lungi Atoboa Siri Yake ya Kujikojolea!

Staa mrembo wa Bongo Movies,  Lungi Maulanga hivi karibuni ametoa ushuhuda wake kwamba alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kujisaidia kitandani mpaka alipofika kidato cha pili lakini alipona katika mazingira ya kushangaza.

 “Nikiri tu kwamba nilikuwa kikojozi mpaka nafikia form two, nilikuwa naona aibu sana lakini aliyenisaida ni bibi mmoja ambaye aliniponya katika mazingira ya kushangaza.

“Baada ya kumwambia tatizo langu, aliniambia nipande kwenye mti wa muembe nikiwa na nguo zangu, nikiwa...

 

11 years ago

GPL

KOLETA ATOBOA SIRI YA KUCHUKIA WANAUME!

Na Brighton Masalu
MSANII wa maigizo na filamu, Coletha Raymond ‘Koleta’ amefunguka na kutoboa siri ya moyoni juu ya chanzo cha kuwachukia wanaume huku akisisitiza kuendelea kuwa peke yake na kuifanya pombe ndiyo faraja kubwa. Coletha Raymond ‘Koleta’. Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, Koleta alisema kamwe hawezi kusahau maumivu aliyopewa na mchumba wake wa zamani...

 

9 years ago

GPL

SHILOLE ATOBOA SIRI TATTOO YA NUH

Gladness Mallya
STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametoboa siri ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake Naftari Mlawa ‘Nuh’ akisema alifanya hivyo ili kumpa imani mwanaume huyo kuwa anampenda sana. Staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akizungumza na gazeti hili juzikati, Shilole alisema siku zote mpenzi wake hakuwa akiamini kama anampenda, licha ya ukweli kwamba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani