SHILOLE ATOBOA SIRI TATTOO YA NUH
![](http://api.ning.com:80/files/poNlDA9JoO33SUwW9Bw1uh74mT2CMgK1Wj54nDH*t14ImwYs3j-pwm967mT2kUwn1ZARmvYZhBiODXkX6M8vXUU4R9uvlsfV/79129__shilole1.jpg)
Gladness Mallya STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametoboa siri ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake Naftari Mlawa ‘Nuh’ akisema alifanya hivyo ili kumpa imani mwanaume huyo kuwa anampenda sana. Staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akizungumza na gazeti hili juzikati, Shilole alisema siku zote mpenzi wake hakuwa akiamini kama anampenda, licha ya ukweli kwamba...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania02 Jan
Shilole achekelea kufuta tattoo ya Nuh
NA CHRISTOPHER MSEKENA
DIVA matata kwenye muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema anajisikia fahari kufuta tattoo iliyokuwa na jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Akibonga na Swaggaz, Shilole alisema kwa muda mrefu alikuwa kwenye uhusiano usio na maana, lakini sasa anafurahi kujiondoa kwa Nuh na kufanikiwa kufuta tattoo yenye jina la zilipendwa wake huyo.
“Ni maamuzi tu, huu ni mwili wangu kwahiyo wakati nilipokuwa naye niliamua kuandika jina lake na sasa nimeondoa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3dClu3zYZuun31flgn5hI9aux6gn5IgGmq7ord4lrZe58qbLbskrENftMddJjIa4bQQFv6svPiGkLn2*jsHaoPyOtZ2iGfPe/Shishinamziwanda.jpg?width=650)
NUH MZIWANDA: NITAKWENDA KABURINI NA TATTOO YA SHILOLE
10 years ago
Bongo Movies21 Jul
Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuachana.
“Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanzo cha kuachana” Shilole amenukuliwa na Eatv.tv akieleza.
Wawili hao wamekuwa wakijibizana kwa maneno ya shombo kwenye midandao ya kijamii mara baada ya kuachana.
9 years ago
Bongo517 Oct
Shilole kuchora tattoo nyingine ya Nuh Mziwanda kalioni!
9 years ago
Bongo510 Oct
Picha: Shilole aonesha tattoo mpya ya jina la ‘Nuh’ aliyochora kifuani
9 years ago
Bongo Movies31 Dec
Shilole Afuta Tattoo ya Nuh Kifuani, Yasemekana Penzi Lao Limeingia Mchanga!
Kuna taarifa mtaani kuwa penzi la mastaa wa muziki, Shilole na Nuh Mziwanda limevunjika. Japokuwa sio mara ya kwanza kwa tetesi kama hizo kuhusu couple hiyo, lakini safari hii kuna dalili kuwa inaweza kuwa ‘serious’.
Moja ya vitu vinavyoongeza nguvu ya tetesi hizo, Shishi amefuta ile tattoo aliyochora kifuani kwake miezi kadhaa iliyopita, yenye jina la ‘Nuh’ na kuchora UA juu yake.
Tattoo mpya
Tattoo iliyofutwa
Kipindi cha karibuni wawili hao hawaonekani pamoja kama ilivyozoeleka, na kila...
9 years ago
Bongo504 Sep
Shilole naye achora Tattoo ya jina la mpenzi wake Nuh Mziwanda (Picha)
9 years ago
Bongo530 Dec
Picha: Shilole afuta tattoo ya Nuh kifuani, yasemekana penzi lao limeingia mchanga!
![shilole-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/shilole-2-300x194.jpg)
Kuna taarifa mtaani kuwa penzi la mastaa wa muziki, Shilole na Nuh Mziwanda limevunjika. Japokuwa sio mara ya kwanza kwa tetesi kama hizo kuhusu couple hiyo, lakini safari hii kuna dalili kuwa inaweza kuwa ‘serious’.
Moja ya vitu vinavyoongeza nguvu ya tetesi hizo, Shishi amefuta ile tattoo aliyochora kifuani kwake miezi kadhaa iliyopita, yenye jina la ‘Nuh’ na kuchora UA juu yake.
Tattoo mpya
Tattoo iliyofutwa
Kipindi cha karibuni wawili hao hawaonekani pamoja kama ilivyozoeleka, na kila...
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...