Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuachana.
“Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanzo cha kuachana” Shilole amenukuliwa na Eatv.tv akieleza.
Wawili hao wamekuwa wakijibizana kwa maneno ya shombo kwenye midandao ya kijamii mara baada ya kuachana.
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies25 Sep
"Hata iweje siwezi kuachana na Nuh Mziwanda" - Shilole huyo
Baada ya varangati lililotokea Tabora katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, baada mpenzi wa mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kukataliwa na mashabiki, Shilole ameamua kufunguka kuwa Nuh atabaki kuwa mpenzi wake katika hali yoyote.
Akizungumza na paparazi wa kampuni ya GPL, Shilole alisema lengo lake lilikuwa ni kumtambulisha mpenzi wake kwa mashabiki wake japo walimkataa kuwa shemeji yao.
“Wakati namtambulisha Nuh kwa wakazi wa Tabora kuwa...
10 years ago
GPL
SHILOLE ATOBOA SIRI TATTOO YA NUH
11 years ago
GPL
SHILOLE, NUH MZIWANDA
11 years ago
GPL
SHILOLE: SIWEZI KUACHANA NA NUH
10 years ago
GPL
SHILOLE: SASA NAMZALIA NUH MZIWANDA
10 years ago
CloudsFM26 Feb
Shilole: Marafiki wananigombanisha na Nuh Mziwanda
MSANII wa muziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.
10 years ago
Bongo Movies07 Aug
Nuh Mziwanda: Wengi Walimshauri Shilole Aniache
Msanii wa Bongofleva ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa 'Ganda la Ndizi' Nuh Mziwanda akiwa na mchumba wake Shilole amefunguka na kusema watu wengi walimshauri mpenzi wake huyo amuache.
Nuh amesema watu walimpatia ushauri huo Shilole, baada ya hivi karibuni kusambazwa sauti yake katika mitandao ya jamii akisikika kumtaka kimapenzi msanii wa Bongo Movie Wema Sepetu, mazungumzo yao yalikuwa yamerekodiwa kwa njia ya simu na kusambazwa na mtu asiyejulikana.
Nuh Mziwanda amesema...
11 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo