Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHILOLE: SIWEZI KUACHANA NA NUH

Na Shani Ramadhani
KUFUATIA varangati lililotokea Tabora katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014,  baada mpenzi wa mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’,  Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kukataliwa na mashabiki, Shilole ameamua kufunguka kuwa Nuh atabaki kuwa mpenzi wake katika hali yoyote. Mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akizungumza na paparazi wetu,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

"Hata iweje siwezi kuachana na Nuh Mziwanda" - Shilole huyo

Baada ya varangati lililotokea Tabora katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014,  baada mpenzi wa mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’,  Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kukataliwa na mashabiki, Shilole ameamua kufunguka kuwa Nuh atabaki kuwa mpenzi wake katika hali yoyote.

Akizungumza na paparazi wa kampuni ya GPL, Shilole alisema lengo lake lilikuwa ni kumtambulisha mpenzi wake kwa mashabiki wake japo walimkataa kuwa shemeji yao.

“Wakati namtambulisha Nuh kwa wakazi wa Tabora kuwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuachana.

“Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanzo cha kuachana”  Shilole  amenukuliwa na Eatv.tv akieleza.

Wawili hao wamekuwa wakijibizana kwa maneno ya shombo kwenye midandao ya kijamii mara baada ya kuachana.

 

 

10 years ago

Vijimambo

Siwezi kuacha toto zuri Shilole kwa kibao tu-Nuh Mziwanda

Mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akiwa na mchumba wake Shilole, Nuh Mziwanda alibandika pandiko hili“Oooh muache muache!!nimuache nimuachie nani kwa mfano mtoto mkali kama huyu.mnataka valentine day nihesabu mabati nini.aaaah tusitaniane jamani.je ungekua wewe ungeacha toto hili kwa kibao tu jamani.waniache tu”-Mziwanda alimaliza.
Kila la kheri kijana, tunakuombea Shilole asikuache kwasababu wewe umesema hauwezi kumuacha toto.

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO: Siwezi kuacha toto zuri Shilole kwa kibao tu-Nuh Mziwanda

Mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akiwa na mchumba wake Shilole, Nuh Mziwanda alibandika pandiko hili

“Oooh muache muache!!nimuache nimuachie nani kwa mfano mtoto mkali kama huyu.mnataka valentine day nihesabu mabati nini.aaaah tusitaniane jamani.je ungekua wewe ungeacha toto hili kwa kibao tu jamani.waniache tu”-Mziwanda alimaliza.

Kila la kheri kijana, tunakuombea Shilole asikuache kwasababu wewe umesema hauwezi kumuacha toto.

 

10 years ago

GPL

SHILOLE, NUH WAPATANISHWA

Imelda Mtema BAADA ya kujinadi kwa mbwembwe nyingi mitandaoni kuwa wamemwagana, hatimaye wapendanao, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ wamepatanishwa na kufungua ukurasa mpya wa ‘malovee’, Risasi Mchanganyiko linakumegea. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1ONXbKF

 

10 years ago

GPL

SHILOLE, NUH MZIWANDA

IMEGUNDULIKA kuwa uhusiano wa staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe Nuh Mziwanda ni kazi bure kwani uwezekano wa kufunga ndoa kati yao haupo kutokana na kupishana imani.Ishu hiyo imejidhihirisha juzikati nyumbani kwa wawili hao Mwananyamala-Manjunju jijini Dar, baada ya paparazi wetu kuwaibukia na kutaka kujua malengo yao zaidi kama wana mpango wa kuoana au la, msikie kwanza Nuh: Staa wa Mduara,...

 

11 years ago

CloudsFM

NUH MZUWANDA KUMUOA SHILOLE

Staa wa Bongo Fleva,Nuhu Mzuwanda ameweka wazi mahusiano yake na msanii mwenzake,Zuwena Mohamed’Shilole’kwa wazazi wake na kwamba ana mpango wa kumuoa msanii huyo.Kwa mujibu wa baba mzazi wa msanii huyo aitwaye Mzee Mlawa amefunguka kwenye U heard na Soudy Brown amesema kuwa mwanaye huyo alimueleza kuwa anataka kumuoa mchumba wake huyo(Shilole).‘’Mi sina tatizo kama wamependana waache waoane tu nasubiri wajukuu tu’’alisema baba Nuh Mziwanda. Aidha amefunguka kuwa mkwe wake huyo alimuona...

 

10 years ago

GPL

Penzi la Shilole na Nuh layeyuka

Bongo Fleva na mwigizaji, Zuwena Mohammed a.k.a Shilole a.k.a Shishi Beiby na msanii mwenzake Nuh Mziwanda. LILE penzi lililotikisa Bongo kati ya mwanadada mrembo ambaye ni msanii wa Bongo Fleva na mwigizaji, Zuwena Mohammed a.k.a Shilole a.k.a Shishi Beiby na msanii mwenzake Nuh Mziwanda, limevunjika ghafla wikiendi iliyopita. Soma zaidi ====>http://bit.ly/1HEbRcq ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani