SHILOLE: SASA NAMZALIA NUH MZIWANDA
![](http://api.ning.com:80/files/lihD20i2jrwCJeAU45o*lOdnycaMPxKqQnnjsJcIlZXql19Ok3zh3pq9Vp-W1-In1DfNFU2ViQrwlM*B64dYsYatVY7kHJ9L/66.jpg?width=650)
Chande Abdallah Kutoka kwenye mtima! Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungukia ishu ya kumbebea mimba mpenzi wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ili kuwafunga midomo wanawake wa mjini ambao wanamzengea jamaa huyo. Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa katika pozi na mpenzi wake Nuhu Mziwanda. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Shilole alitiriria kuwa, kwa muda mrefu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*SUYvb1OXSvIEXWXlijDY1LB5JTd3idxJyON9kxtK77yOWCXs2m3qwXZ7CUq5UNGnxkrRkkxh*bdQeUIrxZw8tHY2LELpEZb/shilole.jpg)
SHILOLE, NUH MZIWANDA
10 years ago
CloudsFM26 Feb
Shilole: Marafiki wananigombanisha na Nuh Mziwanda
MSANII wa muziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/qx6orh371QM/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies07 Aug
Nuh Mziwanda: Wengi Walimshauri Shilole Aniache
Msanii wa Bongofleva ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa 'Ganda la Ndizi' Nuh Mziwanda akiwa na mchumba wake Shilole amefunguka na kusema watu wengi walimshauri mpenzi wake huyo amuache.
Nuh amesema watu walimpatia ushauri huo Shilole, baada ya hivi karibuni kusambazwa sauti yake katika mitandao ya jamii akisikika kumtaka kimapenzi msanii wa Bongo Movie Wema Sepetu, mazungumzo yao yalikuwa yamerekodiwa kwa njia ya simu na kusambazwa na mtu asiyejulikana.
Nuh Mziwanda amesema...
10 years ago
Bongo Movies21 Jul
Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuachana.
“Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanzo cha kuachana” Shilole amenukuliwa na Eatv.tv akieleza.
Wawili hao wamekuwa wakijibizana kwa maneno ya shombo kwenye midandao ya kijamii mara baada ya kuachana.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/uyMJ0cAtziw/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania13 Mar
Nuh Mziwanda: Shilole anipige tu! hakuna shida
NA MWALI IBRAHIM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Nuh Mziwanda, ametoa kali ya mwaka kwa kudai kwamba kitendo cha kupigwa mara kwa mara na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, kinampa furaha na ufahamu wa namna anavyopendwa.
“Kwanza kupigwa raha, mpenzi wako asipokupiga hakuonei wivu, mimi nafurahi sana na namtaka anipige tu! kila siku akijisikia, ananidhihirishia kuwa ananipenda,” alisema.
Nuh alisema mengi yamesemwa kutokana na kupigwa kwake mara kwa mara, huku akidai kwamba hilo halina...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp23BnSfwVxWYTeTxQj9ta3oM-Du4KOUDavL60KIXHmO3UFpLwLRC4C5NBkuzHNasThDfzjCpHHYkulEGHJP0rbR-/1.jpg?width=650)
SHILOLE, NUH MZIWANDA WAONYESHANA MAPENZI UPYA