Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies03 Aug
Shilole Azumgumza Mengine Haya Kuhusu Rungu la Basata
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) July 30 walimkabidhi barua ya kumsimamisha Shilole kufanya kazi za muziki kwa muda wa mwaka mmoja,taarifa ambayo iliwashtua wadau wengi wa muziki kuhoji zaidi kuhusu hukumu hiyo namna ilivyofanywa.
Kama unakumbuka miezi 3 iliyopita Shilole alienda kufanya show nchini Ubelgiji wakati akitumbuiza jukwaani kwa bahati mbaya sehemu ya kifua chake(TITI) ilijitokeza kwa nje baadae picha zikapigwa na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Baada ya hukumu hiyo...
11 years ago
GPLALIYEZAA NA SHILOLE AIBUKA
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Shilole mpaka Nigeria? kayazungumza haya kuhusu collabo aliyoifanya na msanii wa Nigeria…
Headlines za Dec 28 zinakwenda kwa Shilole ambaye wiki kadhaa zilizopita alikuwa nchini Nigeria kwaajili ya show yake akiwa na Feza Kessy & Lina Sanga, sasa msanii huyo baada ya kurudi Tanzania amefanya exclusive interview na ripota wa millardayo.com kufunguka kuhusu collabo aliyoifanya nchini Nigeria. ‘Nilikuwa niko Nigeria kwaajili ya kufanya show na kutafuta connection […]
The post Shilole mpaka Nigeria? kayazungumza haya kuhusu collabo aliyoifanya na msanii wa Nigeria… appeared first on...
9 years ago
GPLSHILOLE ATOBOA SIRI TATTOO YA NUH
10 years ago
Bongo Movies21 Jul
Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuachana.
“Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanzo cha kuachana” Shilole amenukuliwa na Eatv.tv akieleza.
Wawili hao wamekuwa wakijibizana kwa maneno ya shombo kwenye midandao ya kijamii mara baada ya kuachana.
9 years ago
Bongo Movies21 Nov
Shilole Atoboa Sababu ya Kuuza Nyumba Yake Aliyokua Anajenga Kimara
Msanii Shilole aliwai kuingia kwenye headlines baada ya ku-post kwenye instagram picha ya nyumba yake ambayo alikua bado anaijenga. Caption ya picha hiyo ilikua inasomeka hivi, “Mungu nisaidie nimalize hii kitu ili watoto wangu wasije kupata tabu”.
Eneo ambalo alilokua anajenga nyumba hiyo ni Kimara jijini Dar es Salaam lakini Shilole amesema kwamba ameuza nyumba hiyo ambayo ilikua bado haijaisha vizuri.
Akiongea na millardayo.com Shilole ametoa sababu za kuuza nyumba hiyo kama hivi,...
11 years ago
GPLKUMBE MZUNGU WA SHILOLE NI MWANAUME TATA!
10 years ago
Bongo Movies13 May
Shilole: Huyu Ndio Mwanaume wa Maisha Yangu
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole leo mtandaoni ameibuka na mtandaona na kuweka wazi kuwa mchumba wake Nuh Mziwanda ndio mwanaume wa maisha yake.
“Huyu nilienae pembeni yangu ndo baba yangu rafiki yangu faraja yangu ya moyo na anajua umuhimu wangu kuliko mtu yeyote yupo na mimi bega kwa bega ninapokuwa na furaha nahata ninapokuwa na majonzi mimi naweza sema ndo mwanaume wa maisha yangu naomba Mungu asije badilika nitaumia sana.Nampenda sana huyu mtu nyinyi mnamuta Nuh mimi...
10 years ago
Vijimambo