KUMBE MZUNGU WA SHILOLE NI MWANAUME TATA!
![](http://api.ning.com:80/files/cZ399qCqOaFXIaQEOH3zg6Hoh*0sl*zvqqhipGT2y3org6sAdXyIx9DTA-Up4J3C8ilDSg6InfMsEJPnE585gCO8RNnzdScI/shilole.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan Yeleuuuwi! Siku chache baada ya msanii wa sinema na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kujinadi na mchumba wa Kizungu aliyejulikana kwa jina moja la Ankar, siri imefichuka kwamba jamaa huyo ni mwanaume tata. Kikizungumza na Ijumaa Wikienda kutoka London, Uingereza, wikiendi iliyopita, chanzo hicho makini kilisema mwanaume ambaye hivi karibuni Shilole alijinadi kuwa ni bw...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aGsIBoQ0cKki5XiQA5Px6QSzrnyrnDNM*i3kBRGmsD40-v-4h4O*mYQHLuk3jS-q-mfTsuvVl2Er*72FL0l73h-5e3r6lr9J/kopa.jpg)
MWANAUME TATA AMCHAFUA KOPA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulnS6SV5tE5JwdS3qWBRL2FENVzos*oy1zZRZI19OSh5oVhnNCo8K7N2T-UzboTE-B5DH1FFgz4vg7CVevcgPuza/Kupa.jpg?width=650)
KUPA ANASWA NA MWANAUME TATA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mhrng7eeJg1Nd6FK8JzQAxWV4aVoogRqa-XsZ-KVkBspQ7wBy0Nf*W84qOwkJq0UW1cu9SfWX-PtHnV7l3cmlaZLCbNEbGlv/ofm.jpg?width=650)
MWANAUME TATA ANASWA KWA UKAHABA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sGeqV*sT8d1JGTTQHDd6VmKqHa*llvdoCXBIyyPTfXm4BVCOXy4lmAMI8OKhdiZc9Pf-SoCgnbErHoVL9D0VYsQt7xzTd-2-/shilole.jpg?width=650)
SHILOLE ANASA KWA MZUNGU
10 years ago
Bongo Movies23 Jul
Duh! Shilole na Mziwanda Kumbe ni Kiki tu
BAADA mikasa na vituko kibao vya kidume kuchezea kichapo na kuvumilia kitambo huku thamani ya uume ikidhalilishwa front, kijana Nuhu Mziwanda kabwaga mazima, ni Couple iliyounganishwa na yeye na mwanadada mwenye kesi kwa Pilato Basata kwa kumwaga radhi Ughaibu Shilole.
FC baada ya kupata mtonyo iliwaibukia artist hao wenye uwezo wa kuact kila kunapokucha katika kupata data kama ni sinema na wanaendelea na Movie yao mpya ya maisha kama walivyozoeleka? Lakini hii ni real mtu kambwaga mtu naye...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/OY2wKyB8QCs/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies13 May
Shilole: Huyu Ndio Mwanaume wa Maisha Yangu
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole leo mtandaoni ameibuka na mtandaona na kuweka wazi kuwa mchumba wake Nuh Mziwanda ndio mwanaume wa maisha yake.
“Huyu nilienae pembeni yangu ndo baba yangu rafiki yangu faraja yangu ya moyo na anajua umuhimu wangu kuliko mtu yeyote yupo na mimi bega kwa bega ninapokuwa na furaha nahata ninapokuwa na majonzi mimi naweza sema ndo mwanaume wa maisha yangu naomba Mungu asije badilika nitaumia sana.Nampenda sana huyu mtu nyinyi mnamuta Nuh mimi...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.
Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...