Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALIYEZAA NA SHILOLE AIBUKA

Denis Mtima, aliyekuwa Igunga, Tabora
KWA mara ya kwanza, mzazi mwenza na msanii wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Elias Makala ameibuka na kujinadi hadharani wilayani Igunga, Tabora. Tukio hilo lilitokea Februari 14, mwaka huu (Valentine’s Day) ambapo Shilole aliyekuwa amekwenda kufanya shoo mkoani humo, alishindwa kuzuia hisia zake baada ya mzazi mwenzake huyo kujitokeza na kujikuta...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole

Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.

‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...

 

11 years ago

GPL

SHILOLE AIBUKA NA ‘SERENGETI BOY’ MPYA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya KWA mara nyingine, staa anayekimbiza kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’ ameibuka katika penzi jipya na bwana mdogo anayechipukia katika muziki wa Bongo Fleva, Nouh Mziwanda, Risasi Mchanganyiko limeinasa. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Shilole kwa sasa hasikii wala haoni kwa Nouh pamoja na kwamba wawili hao wanaonekana kuwa na...

 

10 years ago

GPL

ALIYEZAA NA RIYAMA ANASWA!

Hakuna siri ya wawili duniani! Baada ya staa wa sinema za Kibongo, Riyama Ally kumfichaficha mwanaume aliyezaa naye kwa muda mrefu, hatimaye jamaa huyo amenaswa. Staa wa sinema za Kibongo, Riyama Ally akiwa na mpenzi wake anayefahamika kwa jina moja la Haggy . Tukio hilo lililopigwa chabo na ‘mtu wetu’ lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Chabruma uliopo Mabibo, Dar ambako kulikuwa na bethidei ya mtoto wa...

 

10 years ago

GPL

ALIYEZAA NA ASKOFU WA KKKT ATAKA D.N.A

Na Joseph Ngilisho, Arusha
MAPYA tena! Lile sakata la Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera kudaiwa kuzaa watoto wawili na muumini wake, Peace Sylvester limeendelea kuchukua sura mpya kufuatia mwanamke huyo kumtaka askofu wakapime D.N.A. Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera. Mbali na...

 

11 years ago

Mwananchi

Aliyezaa mtoto wa ajabu Handeni alonga

>Tangu mwaka 2012 zaidi ya watoto 154 wamezaliwa na wanawake walio juu ya umri wa miaka 50. Miongoni mwao, wamo waliotokana na teknolojia ya upandikizaji.

 

10 years ago

GPL

ALIYEZAA NA NAY ANASWA NA KIDUME UGANDA

Gladness Mallya
KABAANG! Zilipendwa wa staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson amezua gumzo la aina yake baada ya kunaswa na ‘kidume’ kingine nchini Uganda. Zilipendwa wa staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini kilichowafuatilia wawili hao hatua kwa hatua, mpango mzima ulianzia jijini Mwanza...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini

Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha  wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.

Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...

 

10 years ago

Bongo5

Shilole: Sio kwamba nimeacha kuigiza ila nafatutia timing, asema filamu ijayo itakuwa ni true story (Shilole In Dar)

Licha ya kuwa Shilole amefanikiwa zaidi kwenye muziki, lakini ameweka wazi kuwa hajaitupa kabisa fani yake ya uigizaji ambayo alianza nayo kabla ya muziki. Akizungumza kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm wakati akitambulisha wimbo wake mpya Dec.15, amesema kuwa bado anajipanga na atakuja kutoa filamu yake mpya siku za usoni. “Saizi nimejikita sana […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mwanamke Aliyezaa watoto wawili na Assange kwa siri ubalozini aeleza hofu yake

Mwanasheria Stella Morris anasema wawili hao walianza mapenzi yao mwaka 2015 wakati Asange akiwa mafichoni kwenye ubalozi wa Ecuador jijini London.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani