Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHILOLE AIBUKA NA ‘SERENGETI BOY’ MPYA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya KWA mara nyingine, staa anayekimbiza kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’ ameibuka katika penzi jipya na bwana mdogo anayechipukia katika muziki wa Bongo Fleva, Nouh Mziwanda, Risasi Mchanganyiko limeinasa. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Shilole kwa sasa hasikii wala haoni kwa Nouh pamoja na kwamba wawili hao wanaonekana kuwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SHILOLE AMTETEA SERENGETI BOY WAKE

Stori: Gladness Mallya MWANADADA anayefanya vizuri kunako gemu la muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametetea maisha yake ya kimapenzi na Nuh Mziwanda, akisema madai kwamba ni kijana mdogo kuliko yeye, siyo kweli kwani wanalingana umri. Mwanadada anayefanya vizuri kunako gemu la muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ “Mimi na Mziwanda wangu tunalingana kiumri lakini...

 

11 years ago

GPL

ALIYEZAA NA SHILOLE AIBUKA

Denis Mtima, aliyekuwa Igunga, Tabora
KWA mara ya kwanza, mzazi mwenza na msanii wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Elias Makala ameibuka na kujinadi hadharani wilayani Igunga, Tabora. Tukio hilo lilitokea Februari 14, mwaka huu (Valentine’s Day) ambapo Shilole aliyekuwa amekwenda kufanya shoo mkoani humo, alishindwa kuzuia hisia zake baada ya mzazi mwenzake huyo kujitokeza na kujikuta...

 

10 years ago

GPL

SERENGETI BOY: NIMELIFAIDI PENZI LA WOLPER!

Na Musa mateja/mchanganyiko11 Siri imefichuka! Bwa’mdogo a.k.a Serengeti Boy kutoka Kundi la Makomando, Fredy Felix amesimulia namna alivyofaidi penzi la staa wa Bongo Movies, Jacqueline Walper Massawe ‘Wolper’. Fredy Felix kutoka Makomando. Akizungumza na GlobalTV Online kwenye mahojiano maalum juzikati, dogo huyo alisema kuwa katika maisha yake ya kimapenzi hakuna mwanamke ambaye aliwahi kutoka naye na...

 

10 years ago

GPL

SERENGETI BOY, MKE WA KIGOGO LIVE

Stori: Waandishi Wetu
KABAANG! Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine (24), mkazi wa mtaa wa Kitangiri jijini Mwanza amenaswa ‘live’ gesti akiwa na mke wa kigogo mmoja (jina kapuni), aitwaye Mwanaidi wakijiandaa kuvunja amri ya sita. Baada ya fumanizi kati ya Serengeti boy aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine na mke wa kogogo. Tukio hilo lilijiri Septemba 18, mwaka huu kwenye gesti moja...

 

10 years ago

GPL

BELLA AANGUKIA KWA SERENGETI BOY

Na Waandishi Wetu/Amani
SABABU za Bella kuachana na mpenzi wake Luten Karama, zimetajwa kuwa ni serengeti boy ambaye ni mwanamuziki anayejulikana kwa jina la Dogo Nasri. Isabela Mpanda, 'Bella' akiwa na  serengeti boy, 'Dogo Nasri'. Sosi wa habari hii alisema kuwa Bella amekuwa akitoka kimapenzi na ‘underground’ huyo na ndiyo maana amekubali kirahisi kuachana na mpenzi wake wa siku nyingi. “Ulishawahi...

 

10 years ago

Bongo5

Picha:Maisara aibuka mshindi wa Serengeti Super Diva Singida

Mwanadada Maisara Juma kutoka mkoani Singida ameibuka mshindi wa shindano la Serengeti Super Diva 2014 baada ya kuwabwaga wenzake wanne. Majaji wa Serengeti Super Diva 2014 Singida wakiwa na mshindi wa pili kutoka kushoto, Hawa Shindano hilo lililofanyikia kwenye ukumbi wa club ya Rude lilionyesha ushindani mkubwa baada ya kila mshiriki kuonyesha uwezo wake ila […]

 

9 years ago

GPL

HEEE! SHILOLE, AUNT WAJISHEBEDUA NA VISERENGETI BOY MBELE YA JK

Waandishi Wetu ISHU! Katika kitu kinachoweza kutafsiriwa kama kituko, wasanii wawili wanaofanya vizuri kwenye filamu na Bongo Fleva, Aunt Ezekiel na Zuwena Mohamed ‘Shilole’ juzikati walionekana wakijishebedua na wapenzi wao wanaotajwa kuwa ‘majanki’ kuliko wao, mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya fainali ya Kinondoni Talent Search, iliyofanyika katika ukumbi wa Kisanga, Millenium Tower,...

 

10 years ago

GPL

HEE! MAMA ASAULA KUMLAANI SERENGETI BOY WAKE

Gabriel Ng’osha Heeh! Makubwa! Mama mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amefanya aibu ya mwaka baada ya kusaula (kuvua) nguo zake na kubaki mtupu, kisa kikidaiwa ni kumlaani ‘serengeti boy’ wake aliyemfanyia kitu mbaya. Mwanamke aliyedaiwa kusahula baada ya kugombana na bwana'ke. Kwa mujibu wa chanzo chetu, mwanamke huyo mbali ya kuwa na mtu wake amedaiwa kuwa na tabia ya kuchepuka na wanaume...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Amina Issa aibuka Serengeti Super Nyota Diva Shinyanga

Shindano la Serengeti Super Nyota Diva Shinyanga mwaka 2014 limemalizika kwa Amina Issu kuibuka mshindi na kuwapiku wenzake tisa waliokuwa kwenye kinyang’anyiro hicho. DJ Fetty akimpongeza mshindi wa Shinyanga Super Nyota Diva 2014 Shindano hilo lililokuwa na majaji watatu lilikuwa na raundi tatu mpaka kumpata mshindi huyo ambaye ataungana na wenzake wa mikoa mingine kwenda […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani