Picha: Shilole aonesha tattoo mpya ya jina la ‘Nuh’ aliyochora kifuani
Shilole amewathibitishia mashabiki na ‘haters’ wake kuwa mapenzi yake na Nuh Mziwanda ni ‘Unstoppable’. Staa huyo wa muziki na filamu ameonesha tattoo mpya aliyochora kifuani kwake yenye jina la mpenzi wake ‘Nuh’. Katika post yenye picha hiyo Shishi ameandika “Lv ya ukweli inaongea”. Mapenzi ya wawili hao yamekuwa yakikumbwa na dhoruba ya mara kwa mara […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Dec
Picha: Shilole afuta tattoo ya Nuh kifuani, yasemekana penzi lao limeingia mchanga!

Kuna taarifa mtaani kuwa penzi la mastaa wa muziki, Shilole na Nuh Mziwanda limevunjika. Japokuwa sio mara ya kwanza kwa tetesi kama hizo kuhusu couple hiyo, lakini safari hii kuna dalili kuwa inaweza kuwa ‘serious’.
Moja ya vitu vinavyoongeza nguvu ya tetesi hizo, Shishi amefuta ile tattoo aliyochora kifuani kwake miezi kadhaa iliyopita, yenye jina la ‘Nuh’ na kuchora UA juu yake.
Tattoo mpya
Tattoo iliyofutwa
Kipindi cha karibuni wawili hao hawaonekani pamoja kama ilivyozoeleka, na kila...
10 years ago
Bongo504 Sep
Shilole naye achora Tattoo ya jina la mpenzi wake Nuh Mziwanda (Picha)
9 years ago
Bongo Movies31 Dec
Shilole Afuta Tattoo ya Nuh Kifuani, Yasemekana Penzi Lao Limeingia Mchanga!
Kuna taarifa mtaani kuwa penzi la mastaa wa muziki, Shilole na Nuh Mziwanda limevunjika. Japokuwa sio mara ya kwanza kwa tetesi kama hizo kuhusu couple hiyo, lakini safari hii kuna dalili kuwa inaweza kuwa ‘serious’.
Moja ya vitu vinavyoongeza nguvu ya tetesi hizo, Shishi amefuta ile tattoo aliyochora kifuani kwake miezi kadhaa iliyopita, yenye jina la ‘Nuh’ na kuchora UA juu yake.
Tattoo mpya
Tattoo iliyofutwa
Kipindi cha karibuni wawili hao hawaonekani pamoja kama ilivyozoeleka, na kila...
9 years ago
Mtanzania02 Jan
Shilole achekelea kufuta tattoo ya Nuh
NA CHRISTOPHER MSEKENA
DIVA matata kwenye muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema anajisikia fahari kufuta tattoo iliyokuwa na jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Akibonga na Swaggaz, Shilole alisema kwa muda mrefu alikuwa kwenye uhusiano usio na maana, lakini sasa anafurahi kujiondoa kwa Nuh na kufanikiwa kufuta tattoo yenye jina la zilipendwa wake huyo.
“Ni maamuzi tu, huu ni mwili wangu kwahiyo wakati nilipokuwa naye niliamua kuandika jina lake na sasa nimeondoa...
10 years ago
GPL
SHILOLE ATOBOA SIRI TATTOO YA NUH
11 years ago
GPL
NUH MZIWANDA: NITAKWENDA KABURINI NA TATTOO YA SHILOLE
10 years ago
Bongo517 Oct
Shilole kuchora tattoo nyingine ya Nuh Mziwanda kalioni!
9 years ago
Bongo504 Jan
Sitochora tena tattoo ya jina la mpenzi wangu – Shilole

Shilole ameapa kutorudia tena kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake.
Hivi karibuni muimbaji huyo alilazimika kuifuta tattoo ya jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Shilole amesema kujichora tattoo ya jila Nuh kumemharibia issue kibao.
“Tattoo hapa ni empty,” aliambia 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatatu hii.
“SiwezI tena kuchora tattoo kwaajili ya mapenzi. Nimeamua kama tutapendana tutapenda rohoni kwa sababu nishaona hakuna sababu ya kuchora tattoo. Unaweza...
10 years ago
Bongo526 Oct
Picha: Blac Chyna athibitisha kuwa na uhusiano na Future? Achora tattoo ya jina la rapper huyo mkononi