Sitochora tena tattoo ya jina la mpenzi wangu – Shilole
Shilole ameapa kutorudia tena kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake.
Hivi karibuni muimbaji huyo alilazimika kuifuta tattoo ya jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Shilole amesema kujichora tattoo ya jila Nuh kumemharibia issue kibao.
“Tattoo hapa ni empty,” aliambia 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatatu hii.
“SiwezI tena kuchora tattoo kwaajili ya mapenzi. Nimeamua kama tutapendana tutapenda rohoni kwa sababu nishaona hakuna sababu ya kuchora tattoo. Unaweza...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Sep
Shilole naye achora Tattoo ya jina la mpenzi wake Nuh Mziwanda (Picha)
9 years ago
Bongo521 Oct
Mabeste adai hawezi kujuta kujichora tattoo ya jina la mpenzi wake
9 years ago
Bongo510 Oct
Picha: Shilole aonesha tattoo mpya ya jina la ‘Nuh’ aliyochora kifuani
9 years ago
Bongo505 Jan
Una mpango wa kuchora tattoo ya mpenzi wako? Shilole ana ushauri kuhusu hilo
Shilole a.k.a Shishi baby ametoa ushauri kwa watu kutochora tattoo za wapenzi wao, ili isije kuwapa shida pale watakapoachana kama ilivyomtokea yeye na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.
Shishi ametoa ushauri huo baada ya kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.
“Sina tattoo tena nimeamua tu kuifuta,tutapendana tu kama ni mapenzi tutapeana ya rohoni,mambo ya kuchorana tattoo nimeshaacha,nishaona hakuna sababu ya kuchora unaweza kuchora tattoo ukazuia mambo yako mengi yanayopita.”...
10 years ago
GPLSHILOLE: MPENZI WANGU NDIYE ANAYENITIBU VIZURI
10 years ago
CloudsFM02 Jul
Linah Afunguka Tattoo Ya Mpenzi Wake
Mwanamuziki nchini Tanzania Asterlinah Sanga ‘Linah’ akiwa na William Bugeme ‘Boss Mtoto’
Mwanamuziki nchini Tanzania, Asterlina Sanga ‘Linah’ amekiri mpenzi wake wa sasa William Bugeme ‘Boss mtoto’ kujichora tattoo yenye jina lake ikiwa ni muda mfupi umepita tangu kuanzishwa kwa uhusiano wao.
Amedai kuwa kwa mara ya kwanza yeye na boss mtoto walikutana kwenye mgahawa wa News Cafe na kubadilishana namba za simu ikiwa sasa ni mwezi mmoja umepita tangu waanzishe penzi hilo jipya.
William...
9 years ago
Mtanzania02 Jan
Shilole achekelea kufuta tattoo ya Nuh
NA CHRISTOPHER MSEKENA
DIVA matata kwenye muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema anajisikia fahari kufuta tattoo iliyokuwa na jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Akibonga na Swaggaz, Shilole alisema kwa muda mrefu alikuwa kwenye uhusiano usio na maana, lakini sasa anafurahi kujiondoa kwa Nuh na kufanikiwa kufuta tattoo yenye jina la zilipendwa wake huyo.
“Ni maamuzi tu, huu ni mwili wangu kwahiyo wakati nilipokuwa naye niliamua kuandika jina lake na sasa nimeondoa...
9 years ago
GPLSHILOLE ATOBOA SIRI TATTOO YA NUH
11 years ago
GPLNUH MZIWANDA: NITAKWENDA KABURINI NA TATTOO YA SHILOLE