Mabeste adai hawezi kujuta kujichora tattoo ya jina la mpenzi wake
Rapper Mabeste amesema ataendelea kubaki na tattoo ya jina la mpenzi wake Lisa hata kama wataachana. Akizungumza na kipindi cha XXL, Mabeste alisema hata akiachana na mpenzi wake Lisa ataendelea kubaki na tattoo hiyo kama kumbukumbu kwenye maisha yake. “Hata kama let say mfano tumeachana, nitakuja kuanzisha maisha mengine na mke mwingine, yeye ataendelea kuwepo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo520 Oct
Mabeste na mpenzi wake Lisa wajichora tattoo za majina yao
9 years ago
Bongo504 Sep
Shilole naye achora Tattoo ya jina la mpenzi wake Nuh Mziwanda (Picha)
9 years ago
Bongo504 Jan
Sitochora tena tattoo ya jina la mpenzi wangu – Shilole
![shilole-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/shilole-2-300x194.jpg)
Shilole ameapa kutorudia tena kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake.
Hivi karibuni muimbaji huyo alilazimika kuifuta tattoo ya jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Shilole amesema kujichora tattoo ya jila Nuh kumemharibia issue kibao.
“Tattoo hapa ni empty,” aliambia 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatatu hii.
“SiwezI tena kuchora tattoo kwaajili ya mapenzi. Nimeamua kama tutapendana tutapenda rohoni kwa sababu nishaona hakuna sababu ya kuchora tattoo. Unaweza...
10 years ago
CloudsFM02 Jul
Linah Afunguka Tattoo Ya Mpenzi Wake
![Mwanamuziki nchini Tanzania Asterlinah Sanga 'Linah' akiwa na William Bugeme 'Boss Mtoto'](https://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/linah.png)
Mwanamuziki nchini Tanzania Asterlinah Sanga ‘Linah’ akiwa na William Bugeme ‘Boss Mtoto’
Mwanamuziki nchini Tanzania, Asterlina Sanga ‘Linah’ amekiri mpenzi wake wa sasa William Bugeme ‘Boss mtoto’ kujichora tattoo yenye jina lake ikiwa ni muda mfupi umepita tangu kuanzishwa kwa uhusiano wao.
Amedai kuwa kwa mara ya kwanza yeye na boss mtoto walikutana kwenye mgahawa wa News Cafe na kubadilishana namba za simu ikiwa sasa ni mwezi mmoja umepita tangu waanzishe penzi hilo jipya.
![William Bugema 'Boss Mtoto' akichorwa tattoo](https://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/Linah-Wangu.jpg)
William...
9 years ago
Bongo517 Sep
Godzilla adai hawezi kuuza utu wake kwa show siasa
9 years ago
Bongo517 Aug
Aslay adai hajutii kumweka wazi mpenzi wake
11 years ago
CloudsFM10 Jun
NUHU MZIWANDA APONDWA MTANDAONI BAADA YA KUJICHORA TATOO YENYE JINA LA SHILOLE
STAA wa Bongo Fleva,Nuhu Mzuwanda amepondwa na mashabiki wake mtandaoni baada ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake ambaye pia ni msanii mwenziye Zuwena Mohamed’Shilole’ambapo wamemuhoji kama wakiachana atachoma tattoo hiyo kwa pasi?
Msanii amepost picha hiyo ya tattoo kwenye mtandao wa Instagram na kuandika…Coz nampenda mke wangu nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn??...
Baadhi ya mashabiki walisema kuwa…. Duuh namuonea huruma sana huyu...
10 years ago
Bongo521 Dec
Mabeste: Mabeste asimulia mke wake alivyougua kwa muda mrefu hadi kudhani atampoteza
9 years ago
Bongo528 Oct
Mabeste adai haumii muziki kutomlipa