Mabeste adai haumii muziki kutomlipa
Rapper Mabeste amesema haumizwi kichwa na kutopata pesa kutokana na muziki wake anaoufanya sasa. Mabeste ameiambia Bongo5 kuwa ameamua kuitengeneza kwanza brand yake mpaka afike kwenye standard nzuri. “Kutopata pesa kwenye muziki hakunifanyi kuwa na stress kwa sababu my plan si kujitengeneza ili ninapotoa ngoma nipate hapo hapo, ila mimi nimejitengeneza kwa ajili ya baadaye,” […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo521 Oct
Mabeste adai hawezi kujuta kujichora tattoo ya jina la mpenzi wake
11 years ago
Bongo518 Sep
Mabeste: Nilisimama kufanya muziki ili kuwa karibu na mwanangu
10 years ago
Bongo521 Dec
Mabeste: Mabeste asimulia mke wake alivyougua kwa muda mrefu hadi kudhani atampoteza
10 years ago
Bongo507 Oct
Enrico adai ubora wa muziki wa Bongo Flava umeshuka
9 years ago
Bongo509 Nov
Professor J adai atafanya muziki kwa viwango vikubwa zaidi

Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Professor J, amesema baada ya kushinda kiti cha ubunge atafanya muziki wake kwa ufanisi kushinda kipindi cha nyuma.
</
Jay amesema umefika wakati wa yeye kufanya collabo na wasanii wakubwa. “Naendelea kufanya sanaa yangu na huenda nikaifanya kwa ufanisi mkubwa zaidi,” Jay aliiambia East Africa Radio wiki iliyopita.
“Unaweza ukasikia watanzania wanafanya kazi na akina Eminem na Jay Z, kwahiyo nategemea kufanya kwa next level kwa sababu naamini...
9 years ago
Bongo521 Dec
Julio adai hatokata tamaa na muziki hata kama haumlipi

Staa wa muziki na mshiriki wa shindano la Big Brother Africa 2012, Julio Batalia, amesema hategemei muziki umlipe kwani bado yupo kwenye hatua za kujitangaza.
Julio ameiambia Bongo5, kuwa ingawa muziki umekuwa wa gharama kubwa katika maandalizi, hana budi kuendelea kufanya hivyo hivyo ili kujitenga.
“Mimi naamini muziki ni process ya muda mrefu,” amesema. “Kwahiyo mafanikio huenda yakachelewa lakini yatakuja tu. Kwahiyo mimi nipo katika stage hiyo sijali sana muziki unilipe kwa sasa kwa...
11 years ago
Bongo501 Aug
Madee adai muziki umekuwa mgumu kutokana na nyimbo kuwa nyingi
9 years ago
Bongo506 Nov
Temba adai mwaka 2015 umekuwa wa mafanikio kwa muziki wa Bongo

Mheshimiwa Temba amesema mwaka 2015 ni mwaka ambao wasanii wengi wamewekeza zaidi kwenye muziki wao.
Temba ameiambia Bongo5 kuwa anauona mwaka huu kama wa mapinduzi kwenye muziki.
“Mwaka huu umekuwa mzuri sana kwenye muziki wetu, video nyingi za wasanii wa ndani zimepata airtime kwenye TV kubwa za nje ambapo ni tofauti na miaka iliyopita,” amesema.
“Yaani wasanii wamejaribu ku-invest zaidi kwenye muziki wao. Ukiangalia kama sisi ‘Kaunyaka’ tumeifanyia Afrika Kusini, Chege bado yupo Afrika...
10 years ago
Bongo521 Oct
Maunda Zorro adai hawezi kuendelea kufanya muziki wakati haumlipi