Mabeste: Nilisimama kufanya muziki ili kuwa karibu na mwanangu
Rapper Mabeste amedai kuwa ilimbidi asimame kufanya muziki kwa mwaka mmoja na zaidi ili kutenga muda wa kutosha wa kukaa nyumbani na mwanae wa kiume, Kendrick. Mabeste amesema kutenga muda huo ilikuwa ni muhimu kwake ili kumpa nafasi mwanae kumfahamu zaidi baba yake na pia kutumia muda huo kufanya shughuli zingine za kumuingizia kipato tofauti […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo522 Dec
Mwaka 2016 ni kazi tu – Shaa, aliweka ‘pending’ deal nono la Kenya ili kufanya muziki (Video)
![12345711_718016738342763_71673018_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12345711_718016738342763_71673018_n-300x194.jpg)
Shaa ameutangaza mwaka 2016 kuwa ni mwaka wa ‘hapa kazi tu.’
Akiongea kwenye kipindi cha Uhondo cha EFM kinachoendeshwa na Dina Marious na Swebe Santana, Shaa alisema alilazimika kutolea nje deal nono aliyokuwa aifanye Kenya ili kuutumia mwaka ujao nyumbani na kufanya muziki zaidi.
“Kuna kazi nyingine tena inabidi itoke mwezi wa tatu, na nyingine tena inabidi itoke mwezi wa sita, nyingine tena mwezi wa tisa. Kwahiyo utakuwa ni mwaka ambao nitakuwa niko busy sana. Nataka niutumie kimuziki...
9 years ago
Bongo528 Oct
Mabeste adai haumii muziki kutomlipa
10 years ago
Bongo524 Jan
H.Baba: Mwanangu Tanzanite ana meneja wake na ‘soon’ ataanza kufanya matangazo
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Papa Wemba kutumbuiza Tamasha la Karibu Muziki
HERIETH FAUSTINE NA ESTHER MNYIKA
WASANII wa ndani na nje ya nchi wanatarajia kutumbuiza katika tamasha la Karibu Music Festival 2015 huku mgeni mwalikwa akiwa ni mwanamuziki kutoka Congo, Papa Wemba.
Wasanii wengine wanaotarajiwa kutumbuiza katika tamasha hilo ni Jhikolaman, Isha Mashauzi, Damian Soul, Juma Nature, Barnaba, Shilole, mshindi wa pili wa BSS, Nassib Fonabo na bendi yake ya Spirit na wengine wengi.
Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika Novemba 6 hadi 8 katika viwanja vya...
9 years ago
StarTV04 Jan
 Duka la dawa lafunguliwa jijini Arusha ili kusogeza huduma karibu na wananchi
Bohari kuu ya dawa imefungua duka la dawa jijini Arusha litakalohudumia mikoa ya kanda ya kaskazini.
Kuanzishwa kwa duka hilo ni utekelezaji wa agizo la rais lililowataka watendaji waliopo katika sekta ya afya kusogeza huduma ya upatikanaji wa dawa jirani na wananchi.
Akizungumza katika hospitali ya mkoa wa Arusha ya Mount Meru mahali lilipo duka hili Meneja wa bohari kuu ya dawa kanda ya kaskazini Selestine Haule amesema kuanzishwa kwa duka hili kutarahisisha upatikanaji wa dawa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-HGCwp8oEI2I/U_dcYB3WcBI/AAAAAAAGBcY/AEgwP_4naWo/s72-c/4.jpg)
ALBINO WATAKIWA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA JESHI LA POLISI ILI KUIMARISHA USALAMA WAO
![](http://3.bp.blogspot.com/-HGCwp8oEI2I/U_dcYB3WcBI/AAAAAAAGBcY/AEgwP_4naWo/s1600/4.jpg)
Pamoja na kwamba haijawahi kutoa tukio lolote dhidi ya Albino jijini Dar es Salaam kutokana na uhusiano uliopo lakini kwa sasa waongeze mawasiliano na Jeshi la Polisi kutokana na taarifa za uhalifu dhidi ya Albino...
10 years ago
Bongo521 Dec
Mabeste: Mabeste asimulia mke wake alivyougua kwa muda mrefu hadi kudhani atampoteza
9 years ago
Bongo502 Nov
Papa Wemba kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Karibu, Bagamoyo, Nov 6
![papa-wemba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/papa-wemba-94x94.jpg)
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Nguli wa muziki Papa Wemba kutumbuiza Tamasha la Karibu Music Festival Novemba 6-8 mwaka huu
Ofisa Mauzo wa Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO), Ernest Biseko katikati ambao ni waratibu wa Tamasha la Karibu Music Festival akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. kushoto ni ni msanii, Jhikolabwino Manyika – Jhikoman na Meneja Uvumbuzi wa kinywaji cha Jebel cha Kampuni ya SBL, Attu Mynah
MWANAMUZIKI nguli wa dansi kutoka nchini Congo DR, Papa Wemba ni miongoni mwa wasanii wanaotarajia kutumbuiza katika tamasha kubwa la Kimataifa la Muziki la ‘Karibu...