H.Baba: Mwanangu Tanzanite ana meneja wake na ‘soon’ ataanza kufanya matangazo
H.Baba hataki mchezo. Muimbaji huyo wa mtindo alioupa jina ‘Bongo Bolingo Flava’, amesema mwanae wa kike, Tanzanite ana meneja wake anayejitegemea. H.Baba na mwanae Tanzanite Akizungumza jana kwenye kipindi cha The Mboni Show cha TBC 1, H.Baba, alisema yeye na mke wake watakuwa hawahusiki kwenye biashara zitakazojitokeza kwa mtoto wao huyo. “Mke wangu ana meneja […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Nov
Diamond hana mpango wa kufanya nyimbo za Kiingereza – Asema meneja wake Babu Tale
Muziki ni lugha ya dunia, ndio sababu kuna wanamuziki wengi wanaimba lugha za kwao lakini bado wanafanya vizuri katika nchi nyingine zisizoongea lugha hizo.
Diamond Platnumz ametokea kuwa balozi mzuri wa lugha ya Kiswahili, kwasababu mafanikio aliyonayo sasa ya kufanya vizuri ndani na nje ya Afrika yametokana na nyimbo za Kiswahili alizotoa hadi sasa.
Baada ya kugundua kuwa kinachoweza kusababisha wimbo upendwe kimataifa sio lugha, hit maker huyo wa ‘Nana’ hana mpango kabisa wa kurekodi...
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
Meneja Tanzanite One atoroka nchini
Na Mwandishi Wetu, Arusha
MENEJA Mauzo wa Kampuni ya Tanzanite One, Jacques Beytel (39) maarufu ‘Kibakuli’ raia wa Afrika Kusini aliyekamatwa wiki iliyopita kwa kosa la kufanya kazi nchini bila ya kibali, ametoroka.
Habari za kuaminika zimesema kuwa Kibakuli alitoroka kwa kusaidiwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Wiki iliyopita gazeti hili liliripoti tukio la kukamatwa kwa Kibakuli na maofisa wa Idara ya Uhamiaji mkoani Arusha, kwa kosa la kufanya kazi nchini bila ya kuwa na kibali.
Mkuu wa...
10 years ago
GPLMWANANGU ANA KICHWA KIKUBWA LAKINI SIMTUPI!
10 years ago
Bongo Movies05 Jan
Baba Kanumba: Mwanangu Angetumika na CHADEMA
Baba wa nguli wa filamu Bongo, marehemu Steven Charles Kanumba, Charles Kanumba, amesema kuwa anaamini kama mwanaye angekuwa hai hadi sasa basi angekuwa mwanasiasa maarufu nchini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza kwa njia ya simu akiwa kijijini kwao Shinyanga, Charles alisema, japo imepita miaka kadhaa tangu kutokea kwa kifo cha mwanaye huyo, bado anawaza ni namna gani angeweza kuleta maendeleo kwa Watanzania.
“Mwanangu alikuwa na ndoto kubwa ya kuwa...
10 years ago
GPLBABA: UMEME UMEMBADILI SURA MWANANGU
11 years ago
GPLCHAZ BABA: SAJENT AMEGOMEA MWANANGU
9 years ago
Bongo521 Dec
Ommy Dimpoz ana nyimbo za albamu tatu ndani – Meneja
Ommy Dimpoz ana nyimbo nyingi ndani zinazoweza kufikisha takriban albamu tatu.
Akizungumza na Bongo5 Jumamosi iliyopita kwenye uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya, Achia Body, meneja wake, Mubenga, alisema mpaka sasa tayari wamesharekodi nyimbo nyingi ambazo zinasubiri muda wake tu.
“Sisi hatupaniki, tunaangalia target zetu kwenye muziki,” alisema. “Tunajiuliza sasa hivi inafaa kutoa ngoma? Kwa sababu ngoma tunazo, Ommy ana nyimbo kama albamu tatu, zingine hadi mimi nimeshazizoea naziona....
11 years ago
GPLSAJENTI: SIMTOI MWANANGU KWA CHAZ BABA NG’O