Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BABA: UMEME UMEMBADILI SURA MWANANGU

Stori: Haruni Sanchawa
KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Saadam Hussein (14), mkazi wa Chanika nje kidogo ya jiji la Dar es Slaam amelalamikia umeme kubadili sura yake baada ya kuungua vibaya na moto uliosabishwa na hitilafu ya nishati hiyo katika nyumba yao iliyotokea wiki mbili zilizopita. Kijana anayefahamika kwa jina la Saadam Hussein (14) aliyeungua vibaya kutokana na hitilafu ya umeme. Akizungumza na gazeti hili...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Baba Kanumba: Mwanangu Angetumika na CHADEMA

Baba wa nguli wa filamu Bongo, marehemu Steven Charles Kanumba, Charles Kanumba, amesema kuwa anaamini kama mwanaye angekuwa hai hadi sasa basi angekuwa mwanasiasa maarufu nchini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Akizungumza  kwa njia ya simu akiwa kijijini kwao Shinyanga, Charles alisema, japo imepita miaka kadhaa tangu kutokea kwa kifo cha mwanaye huyo, bado anawaza ni namna gani angeweza kuleta maendeleo kwa Watanzania.

“Mwanangu alikuwa na ndoto kubwa ya kuwa...

 

11 years ago

GPL

CHAZ BABA: SAJENT AMEGOMEA MWANANGU

Na Musa Mateja
PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ amefunguka kuwa anatamani kuishi na mwanaye aliyezaa na mwigizaji Husna Idd ‘Sajent’ lakini mzazi mwenziye huyo amekuwa akimgomea. Prezidaa wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ akiwa kwenye ofisi za Global Publishers. Akizungumza na paparazi wetu, Chaz Baba alisema kabla hajaoa alikuwa...

 

11 years ago

GPL

SAJENTI: SIMTOI MWANANGU KWA CHAZ BABA NG’O

Stori: Gladness Mallya
BAADA ya mkali wa Bongo Dansi kutoka Bendi ya Mashujaa, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ kudai ana mpango wa kumchukua mwanaye ili akaishi naye, hatimaye mzazi mwenzake, Husna Idd ‘Sajenti’,  amesema hawezi kumtoa mwanaye. Mkali wa Bongo Dansi kutoka Bendi ya Mashujaa, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ akiwa kwenye ofisi za Global Publishers. Akistorisha na paparazi wa...

 

10 years ago

Bongo5

H.Baba: Mwanangu Tanzanite ana meneja wake na ‘soon’ ataanza kufanya matangazo

H.Baba hataki mchezo. Muimbaji huyo wa mtindo alioupa jina ‘Bongo Bolingo Flava’, amesema mwanae wa kike, Tanzanite ana meneja wake anayejitegemea. H.Baba na mwanae Tanzanite Akizungumza jana kwenye kipindi cha The Mboni Show cha TBC 1, H.Baba, alisema yeye na mke wake watakuwa hawahusiki kwenye biashara zitakazojitokeza kwa mtoto wao huyo. “Mke wangu ana meneja […]

 

11 years ago

GPL

SAJENTI: SIWEZI KUSAHAU KITENDO CHA CHAZ BABA KUMKANA MWANANGU

MIMI napenda kukuuliza kwa nini uliachana na mwanamuziki Chaz Baba na inavyoonekana mnaendana sana? Selemani Alifa, Dar, 0718803204
SAJENTI: Kila kitu kina wakati wake hivyo ule ulikuwa ni wakati wangu lakini haikuwa riziki. Mwanamuziki Chaz Baba. PICHA ZA UTUPU
Kwa nini unapenda kupiga picha za utupu? Huoni kama unaishusha hadhi yako? Andrew Kazala, Dar, 0717179570
SAJENTI: Sijawahi kupiga picha za utupu. URAFIKI
...

 

9 years ago

Bongo5

Mwanangu alifukuzwa shule kwa kumpiga mwenzie aliyemtania baba yake ni teja — Q Chief

Q Chief amedai kuwa aliumia mno pale mtoto wake alipofukuzwa shule baada ya kupigana na mwanafunzi mwenzake aliyemtania kuwa baba yake ni teja! Q-Chief alikuwa akizungumza na BBC Swahili hivi karibuni. Mtoto wa Q Chief “Siku moja mwanangu alikuja analia sana, akaniambia baba mwanafunzi mmoja amesema baba yake si teja tu. Nikamwambia kwahiyo ukafanyaje akaniambia […]

 

10 years ago

Michuzi

Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro

Na Magreth Kinabo
WANANCHI   wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa  sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno  ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana  na  Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha   Rose Migiro wakati  wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  wanaoishi katika mazingira hatarishi  ya WAMA  Nakayama, iliyopo  wilayani Rufiji...

 

9 years ago

Global Publishers

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-10

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA:
“Eti anakuuliza wewe nani?” aliuliza yule abiria akiwa ameinama kidogo ili amuone vizuri yule abiria…

“Anasema anaitwa baba Pili,” yule abiria alimwambia mama Pilima.
Mama Pilima akatembea kwa kasi hadi mlangoni mwa gari…
“Mzima baba Pili?”
“Mzima, twende nikupe lifti.”
SHUKA NAYO MWENYEWE SASA…

Mama Pilima alijikuta akizama ndani ya gari hilo huku akisema…
“Kwani we unakwenda wapi?”
“Mbelembele kule…wewe unakwenda wapi?” alisema baba Pili…
“Nakwenda mahali mara...

 

9 years ago

Global Publishers

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-6

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA:
“Yes! Hakuna mtu anayepita eneo hili muda huu,” alisema mama Pilima hali iliyomfanya baba Pili aamini kwamba huenda wanakwenda kutimiza ndoto yake…
“Egemea kiti,” alisema mama Pilima…
JIRUSHE MWENYEWE…

Baba Pili aliegemea kiti kwa haraka sana, akatumbua macho kusubiri hatua nyingine akiamini ataambiwa au ataelekezwa…

“Mmm! Baba Pili acha mi niende bwana. Muda umekwenda kwelikweli, si ajabu nyumbani wameanza kuingiwa na wasiwasi,” alisema mama Pilima akiwa tayari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani