Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro
Na Magreth Kinabo
WANANCHI wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha Rose Migiro wakati wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi katika mazingira hatarishi ya WAMA Nakayama, iliyopo wilayani Rufiji...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 years ago
Vijimambo02 Oct
Mwanasheria Mkuu Z’bar azikataa ibara 22 Katiba
10 years ago
VijimamboWaziri Migiro akabidhi Katiba inayopendekezwa kwa taasisi za kidini, asasi za kiraia na walemavu
11 years ago
Habarileo24 Apr
Wajumbe wataka sura ya ardhi Katiba mpya
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wametaka kuwepo kwa sura maalumu katika Katiba mpya, itakayozungumzia suala la ardhi pekee, ikiwa ni hatua ya kupunguza migogoro baina ya wakulima na wafugaji kwa kuweka mgawanyo sahihi wa rasilimali hiyo.
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
Waziri Migiro akabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa kwa walemavu, taasisi za kidni na asasi za kiraia
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akimkabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa mwakilishi wa Baraza Kuu la Taasisi na Jumuiya za Kiislam Sheikh Mussa Kundecha katika hafla fupi ya kugawa nakala hizo zilizoandaliwa na Serikali kwa taasisi mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Machi 16, 2015). (Picha: Farida Khalfan, Wizara ya Katiba na Sheria).
Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Bw. Ernest Kimaya akisoma nakala za Katiba...
10 years ago
MichuziWAZIRI MIGIRO AKABIDHI NAKALA ZA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA WALEMAVU, TAASISI ZA KIDNI NA ASASI ZA KIRAIAB
Watanzania wametakiwa kuisoma katiba inayopendekezwa kwa umakini ili kuweza kufanya maamuzi sahihi katika kuandika historia mpya ya nchi.
Hayo aliyasema leo Waziri wa Katiba na Sheria,Dkt. Asha-Rose Migiro wakati akikabidhi katiba inayopendekezwa kwa makundi mbalimbali,Migiro amesema nchi itaandika historia mpya baada ya kupata katiba mpya.
Alisema wananchi wakisoma katiba kwa umakini kutasaidia kufikia matarajio katika kutengeneza ramani ya nchi kwa kuvuka...
11 years ago
Habarileo09 Aug
Maadili, migororo ya ardhi vyatawala sura Katiba mpya
MASUALA ya maadili ya uongozi na watumishi wa umma, rushwa, ufisadi na migogoro ya ardhi, yameelezwa kutawala katika kamati ambazo juzi zimeanza kujadili sura zilizobaki katika rasimu ya Katiba Mpya.
10 years ago
Michuzi02 Sep
Kamati kuanza kuwasilisha Sura zilizosalia za Rasimu ya Katiba Mpya
10 years ago
GPL KAMATI KUANZA KUWASILISHA SURA ZILIZOSALIA ZA RASIMU YA KATIBA MPYA