Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA DKT. ASHA ROSE MIGIRO AGAWA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA WADAU

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

10 years ago

Michuzi

Waziri Dkt Asha-Rose Migiro atua nyumbani Mwanga kupokea wadhamini

 Waziri wa Sheria na Katika Dkt. Asha-Rose Migiro akipokea majina ya wadhamin toka kwa katibu wa CCM Mwanga Bi Mwanaidi Dkt. Migiro  akiwa na list yake ya wadhamini Mwanga KilimanjaroDkt. Migiro akiwa na kaka zake kwenye kaburi la baba yake Cheif Shaaban Mndorwe Mtengeti Sangiwa II na babu zake waliotangulia.

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Migiro akabidhi Katiba inayopendekezwa kwa taasisi za kidini, asasi za kiraia na walemavu

Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Bw. Ernest Kimaya akisoma nakala za Katiba Inayopendekezwa yenye maandishi yaliyokuzwa mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro (kulia) katika hafla fupi ya kugawa nakala hizo zilizoandaliwa na Serikali kwa taasisi mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Machi 16, 2015). Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro, Naibu wake Ummy Mwalimu katika picha ya pamoja na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Migiro akabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa kwa walemavu, taasisi za kidni na asasi za kiraia

WKS Kundecha

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akimkabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa mwakilishi wa Baraza Kuu la Taasisi na Jumuiya za Kiislam Sheikh Mussa Kundecha katika hafla fupi ya kugawa nakala hizo zilizoandaliwa na Serikali kwa taasisi mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Machi 16, 2015). (Picha: Farida Khalfan, Wizara ya Katiba na Sheria).

WKS - Albino

Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Bw. Ernest Kimaya akisoma nakala za Katiba...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MIGIRO AKABIDHI NAKALA ZA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA WALEMAVU, TAASISI ZA KIDNI NA ASASI ZA KIRAIAB

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Watanzania wametakiwa kuisoma katiba inayopendekezwa kwa umakini ili kuweza kufanya maamuzi sahihi katika kuandika historia mpya ya nchi.
Hayo aliyasema leo Waziri wa Katiba na Sheria,Dkt. Asha-Rose Migiro wakati akikabidhi katiba inayopendekezwa kwa makundi mbalimbali,Migiro  amesema nchi itaandika historia mpya baada ya kupata katiba mpya.
Alisema wananchi wakisoma katiba kwa umakini kutasaidia kufikia matarajio katika kutengeneza ramani ya nchi kwa kuvuka...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. ASHA-ROSE MIGIRO ALIVYOPOKELEWA KWA FURAHA UMOJA WA MATAIFA

Ili kuwa ni hafla ya aina yake iliyojaa tabasamu, kukumbatiana na maneno ya " welcome back, good to see you again, we have missed you" yakitawala wakati Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Dkt. Asha- Rose Migiro alipofika Ofisini kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon na kisha kukutana na kubadilishana mawazo na Katibu Mkuu mwenyewe wakianza na mazungumzo ya faragha kati yao wawili na kisha kujumuika na wafanyakazi wa Ofisi Binfasi ya Katibu Mkuu na Ofisi Binafsi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro

Na Magreth Kinabo
WANANCHI   wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa  sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno  ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana  na  Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha   Rose Migiro wakati  wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  wanaoishi katika mazingira hatarishi  ya WAMA  Nakayama, iliyopo  wilayani Rufiji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani