Waziri Migiro akabidhi Katiba inayopendekezwa kwa taasisi za kidini, asasi za kiraia na walemavu
Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Bw. Ernest Kimaya akisoma nakala za Katiba Inayopendekezwa yenye maandishi yaliyokuzwa mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro (kulia) katika hafla fupi ya kugawa nakala hizo zilizoandaliwa na Serikali kwa taasisi mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Machi 16, 2015).
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro, Naibu wake Ummy Mwalimu katika picha ya pamoja na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
Waziri Migiro akabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa kwa walemavu, taasisi za kidni na asasi za kiraia
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akimkabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa mwakilishi wa Baraza Kuu la Taasisi na Jumuiya za Kiislam Sheikh Mussa Kundecha katika hafla fupi ya kugawa nakala hizo zilizoandaliwa na Serikali kwa taasisi mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Machi 16, 2015). (Picha: Farida Khalfan, Wizara ya Katiba na Sheria).
Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Bw. Ernest Kimaya akisoma nakala za Katiba...
10 years ago
Michuzi
WAZIRI MIGIRO AKABIDHI NAKALA ZA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA WALEMAVU, TAASISI ZA KIDNI NA ASASI ZA KIRAIAB
Watanzania wametakiwa kuisoma katiba inayopendekezwa kwa umakini ili kuweza kufanya maamuzi sahihi katika kuandika historia mpya ya nchi.
Hayo aliyasema leo Waziri wa Katiba na Sheria,Dkt. Asha-Rose Migiro wakati akikabidhi katiba inayopendekezwa kwa makundi mbalimbali,Migiro amesema nchi itaandika historia mpya baada ya kupata katiba mpya.
Alisema wananchi wakisoma katiba kwa umakini kutasaidia kufikia matarajio katika kutengeneza ramani ya nchi kwa kuvuka...
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
MJADALA WA KATIBA MPYA: Asasi za kiraia kuelimisha jamii kwa kugawa CD, flash za Katiba
BAADA ya Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar na hatimaye Tanzania iliyotokana na muungano wa nchi hizo mwaka 1964, wananchi hawakuwahi kupewa fursa ya kushiriki katika utungaji wa Katiba ya nchi....
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE-ASASI KIRAIA ZINAZOJIHUSIHA NA SIASA KUFUTWA
Baadhi ya Waandishi habari waliohudhuria katika mkutano wa wizara ya Mambo ya Ndani jijini Dar es salaam leo.Picha Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
ASASI za Kiraia zilizosajiliwa chini ya Wizara...
11 years ago
Michuzi
Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro

WANANCHI wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha Rose Migiro wakati wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi katika mazingira hatarishi ya WAMA Nakayama, iliyopo wilayani Rufiji...
10 years ago
Michuzi
SOLUTION BLOCKS YAANDAA MIKUTANO ILI KUKUTANISHA NGO’S,TAASISI ZA KIRAIA NA TAASISI ZA SERIKALI KWA KILA MWENZI.
KAMPUNI ya Solution BLOCKS ikishirikiana na kampuni ya Anglo Gold Ashanti waandaa mkutano wa Alhamisi ya kila mwezi ili kushirikisha taasisi mbalimbali za serikali na zisizo za kiserikali kuzungumzia kuchangia katika maendeleo katika jamii.
Hayo yamesemwa na Makamo wa Rais wa Sustainability Aglo Gold Ashanti, Simon Shayo katika ufunguzi wa mkutano ambao umejulikana kwa jina la THURSDAY TALK uliofanyika katika hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Mwananchi15 Apr
Serikali kuzifuta taasisi za kidini zinazojihusisha na Katiba,Uchaguzi mkuu
10 years ago
Vijimambo