Meneja Tanzanite One atoroka nchini
Na Mwandishi Wetu, Arusha
MENEJA Mauzo wa Kampuni ya Tanzanite One, Jacques Beytel (39) maarufu ‘Kibakuli’ raia wa Afrika Kusini aliyekamatwa wiki iliyopita kwa kosa la kufanya kazi nchini bila ya kibali, ametoroka.
Habari za kuaminika zimesema kuwa Kibakuli alitoroka kwa kusaidiwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Wiki iliyopita gazeti hili liliripoti tukio la kukamatwa kwa Kibakuli na maofisa wa Idara ya Uhamiaji mkoani Arusha, kwa kosa la kufanya kazi nchini bila ya kuwa na kibali.
Mkuu wa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo524 Jan
H.Baba: Mwanangu Tanzanite ana meneja wake na ‘soon’ ataanza kufanya matangazo
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Mkurugenzi Erolink atoroka nchini
MKURUGENZI wa Kampuni ya uwakala wa ajira ya Erolink Tanzania Limited ametoroka nchini baada ya serikali kubaini kuwa ameikosesha kodi ya zaidi ya sh bilioni tatu kwa miaka mitatu. Tanzania...
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Bei ya Tanzanite nchini yapaa
10 years ago
Habarileo19 Nov
Asilimia 80 ya tanzanite nchini yauzwa kinyemela
SERIKALI imesema asilimia 80 ya madini adimu duniani ya tanzanite, yanayochimbwa nchini pekee katika mji wa Mirerani wilayani Simanjiro, Manyara yanauzwa nje ya nchi kwa `njia ya panya’.
9 years ago
Vijimambo28 Sep
Tanzanite: The hidden treasure of Tanzania We arrive at Tanzanite One on a cool September morning.
![](http://in2eastafrica.net/wp-content/uploads/2015/09/tanzanite.jpg)
The global tanzanite market is only worth $50m
The drive from the nearest town, Arusha, was not too long, but the last stretch on a gravel road littered with ditches made the hairs on the back of my neck stand up.
Once we got to the mine, we were given an induction and a quick briefing on the safety rules. After that we were off to the actual shaft, where we were allocated overalls, helmets and yellow plastic boots.
When I saw the contraption that would carry us 460 metres (yards) below ground,...
10 years ago
MichuziTANZANITE YAZIDI KUNG'ARA KWENYE MAONYESHO YA VITO NCHINI BANGKOK
10 years ago
BBCSwahili25 Jun
Makamu wa rais Burundi atoroka
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG-nIQLmsjQ-2hWgCeSz-QwJX70NMd7k*Nq1fg9qNJfdHsf4MilUXcy5CHbyeZLZr0V0wXsiF9mphHn65uAtPTi2/BACKAMANI.jpg?width=650)
BI HARUSI AFUNGA NDOA, ATOROKA