Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkurugenzi Erolink atoroka nchini

MKURUGENZI wa Kampuni ya uwakala wa ajira ya Erolink Tanzania Limited ametoroka nchini baada ya serikali kubaini kuwa  ameikosesha kodi ya zaidi ya sh bilioni tatu kwa miaka mitatu. Tanzania...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Meneja Tanzanite One atoroka nchini


Na Mwandishi Wetu, Arusha 
MENEJA Mauzo wa Kampuni ya Tanzanite One, Jacques Beytel (39) maarufu ‘Kibakuli’ raia wa Afrika Kusini aliyekamatwa wiki iliyopita kwa kosa la kufanya kazi nchini bila ya kibali, ametoroka.
Habari za kuaminika zimesema kuwa Kibakuli alitoroka kwa kusaidiwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Wiki iliyopita gazeti hili liliripoti tukio la kukamatwa kwa Kibakuli na maofisa wa Idara ya Uhamiaji mkoani Arusha, kwa kosa la kufanya kazi nchini bila ya kuwa na kibali.
Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA MAMBO YA NJE AAGANA NA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UNDP NCHINI

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akimkabidhi Kitabu kinachoelezea Vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo nchini Mkurugenzi wa UNDP nchini, Bw. Philippe Poinsot, alipokuja kuaga mara baada ya kupata uhamisho wa kwenda kuwa Mratibu Mkazi wa UNDP nchini Moroco.Balozi Mushy akiwa katika mazungumzo na Bw. Philippe Poinsot mara baada ya kumkabidhi kitabu.Balozi Mushy (wa nne kulia)  akiwa katika picha ya pamoja na Bw. Poinsot (wa nne kushoto) pamoja na Maafisa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kampuni ya Erolink yajitetea

Kampuni ya Uwakala wa Ajira chini ya Erolink, imekanusha taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari kuwa Mkurugenzi wa kampuni hiyo, ametoroka nchini kukwepa mkono wa Serikali kutokana na kampuni hiyo kushindwa kulipa kodi katika kipindi cha miaka mitatu ya utoaji huduma.

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink yawazawadia wazee wa Yombo Kilakala, Dar es salaam

 Mfanyakazi wa  Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink, Zabida Kibiki akimvisha shuka baada ya kumkabidhi msaada huo John Shitundu ambaye ni miongoni mwa wazee waliopo chini ya kituo chaTushikamane Pamoja Foundation wakati  wafanyakazi wa kampuni hiyo walipokwenda kutoa misaada mbalimbali kwa wazee hao wanaoishi katika kituo hicho kilichopo Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam. Jumla ya vitu mbalimbali vilitolewa  ikiwemo mashuka ,blanketi , mchele na mafuta ya kupikia chakula vyenye...

 

11 years ago

Habarileo

Mkurugenzi wa Wanyamapori nchini aondolewa

Profesa Alexander Songorwa WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa na kumteua Paul Sarakikya kukaimu nafasi hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi Bodi ya Utalii nchini avuliwa madaraka

Serikali imemvua wadhifa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini (TTB), Dk Aloyce Nzuki kutokana na utendaji usioridhisha.

 

9 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA MASHARIKI YA KATI AZUNGUMZA NA BALOZI WA UAE NCHINI

Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Balozi Abdallah Kilima (kulia) akimsikiliza Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdulla Ibrahim Ghanim Alsuwaidi (kushoto) alipokuja kujitambulisha na kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi  na Balozi mpya katika Idara hiyo ya Mashariki ya Kati. Katika mazungumzo yao waligusia masuala ya kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu.  Afisa Mambo ya Nje, Bw. Hangi Mgaka akisikiliza mazungumzo kati ya Balozi...

 

11 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NGUVU ZA ATOMIKI DUNIANI ZIARANI NCHINI TANZANIA

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani Prof. Kwaku Aning (mwenye tai ya bluu) akiwa ofisini kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Patrick Makungu (wa kwanza kushoto) wakijadiliana kuhusu kuendeleza ushirikiano baina ya Tanzania na Shirika hilo kwa ajili ya matumizi salama ya mionzi na ujenzi wa Kituo Mahiri cha Tiba ya Ugonjwa wa Saratani nchini. Prof. Kwaku Aning, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani