Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya Erolink yajitetea

Kampuni ya Uwakala wa Ajira chini ya Erolink, imekanusha taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari kuwa Mkurugenzi wa kampuni hiyo, ametoroka nchini kukwepa mkono wa Serikali kutokana na kampuni hiyo kushindwa kulipa kodi katika kipindi cha miaka mitatu ya utoaji huduma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink yawazawadia wazee wa Yombo Kilakala, Dar es salaam

 Mfanyakazi wa  Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink, Zabida Kibiki akimvisha shuka baada ya kumkabidhi msaada huo John Shitundu ambaye ni miongoni mwa wazee waliopo chini ya kituo chaTushikamane Pamoja Foundation wakati  wafanyakazi wa kampuni hiyo walipokwenda kutoa misaada mbalimbali kwa wazee hao wanaoishi katika kituo hicho kilichopo Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam. Jumla ya vitu mbalimbali vilitolewa  ikiwemo mashuka ,blanketi , mchele na mafuta ya kupikia chakula vyenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkurugenzi Erolink atoroka nchini

MKURUGENZI wa Kampuni ya uwakala wa ajira ya Erolink Tanzania Limited ametoroka nchini baada ya serikali kubaini kuwa  ameikosesha kodi ya zaidi ya sh bilioni tatu kwa miaka mitatu. Tanzania...

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulizi Garissa:Serikali yajitetea

Serikali ya Kenya imeitetea idara yake ya usalama kufuatia shutma kwamba ilichelewa kukabiliana na shambulio la chuo cha Garissa

 

10 years ago

BBCSwahili

Indonesia yajitetea kwa kuwaua 8

Indonesia imetetea uamuzi wake kuwauwa walanguzi wanane wa dawa za kulevya wakiwemo raia saba wa kigeni

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yajitetea ubovu miundombinu

Wizara ya Ujenzi imesema kuwa asilimia kubwa ya miundombinu iliyoharibiwa na mafuriko haikujengwa chini ya kiwango kama inavyodaiwa, bali ni matokeo ya uharibifu wa mazingira.

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria yajitetea kuhusu waliotekwa

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nigeria amesema serikali isilaumiwe kuwa haikufanya chochote kuwaokoa wasichana waliotekwa.

 

10 years ago

Mwananchi

HESLB yajitetea malipo ya wanafunzi kuchelewa

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu(HESLB) imesema sababu iliyochelewesha kutoa fedha za mafunzo kwa vitendo kwa baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu vitano nchini imetokana na kuchelewa kupata fedha kutoka Hazina.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Yanga yajitetea kipigo cha Gor Mahia

NAHODHA wa timu ya soka Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’, amesema kipicho cha mabao 2-1, walichokipata kutoka kwa Gor Mahia ya Kenya hakiwafanyi washindwe kufanya vizuri.

Yanga imepata kipigo hicho kwenye mechi yao ya kwanza michuano ya Kagame inayoendelea kuchezwa jijini Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Taifa na Kumbukumbu ya Karume.

Akizungumza na Raia Tanzania mara baada ya kumalizika mchezo huo mwishoni mwa wiki iliyopita nahodha huyo alisema wanafahamu changamoto wanazokutana...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA TINGATINGA IMEINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA BRICOLEUR HOLDINGS Co.LIMITED YA JAPAN.

Na Zainabu Hamis,Globu ya Jamii. CHAMA Cha Wasanii wa uchoraji picha aina ya Tingatinga imeingia mkataba wa miaka tano (5) na kampuni ya Bricoleurholdings Co.Limited ya nchini Japan, kwa ajili ya kuwatafutia soko nchini Japan 
Makabidhiano ya Mkataba huo yamefanyika leo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. 
Mwakilishi wa Kampuni ya Bricoleurholdings Co.Limited, Shoji Tsuchiya amemkabidhi mkataba huo Mwenyekiti wa Chama Cha Tingatinga, Zack Chimwanda, amesema kuwa kazi hii ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani