Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nigeria yajitetea kuhusu waliotekwa

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nigeria amesema serikali isilaumiwe kuwa haikufanya chochote kuwaokoa wasichana waliotekwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wasiwasi kuhusu wanafunzi waliotekwa Nigeria

Hali ya wasiwasi imetanda kuhusu zaidi ya wasichana 100 waliotekwa nyara na washukiwa wa kundi la wapiganaji la Boko Haram

 

11 years ago

BBCSwahili

Cameron:Waliotekwa Nigeria warejeshwe

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron ameahidi Uingereza kusaidia jitihada za kuwapata wasichana waliotekwa Nigeria

 

11 years ago

BBCSwahili

Maandamano kuhusu wasichana waliotekwa

Maandamano makubwa yamepangwa kufanyika leo nchini Nigeria kuishinikiza serikali kuwanusru wasichana waliotekwa nyara

 

11 years ago

BBCSwahili

Malala azuru Nigeria kuwaenzi waliotekwa

Mamlaka nchini Nigeria inasema kuwa imegundua njama ya kutaka kuvilipua vituo vya usafiri katika mji mkuu wa Abuja.

 

5 years ago

CCM Blog

WATU 241 WALIOTEKWA NYARA NA BOKO HARAM NIGERIA WANUSURIWA

Watu 241 waliotekwa nyara na Boko Haram Nigeria wanusuriwaJeshi la Nigeria limewaokoa watu 241 waliokuwa wametekwa nyara na kundi la kigaidi la Boko Haram.Katika taarifa, Wizara ya Ulinzi ya Nigeria imesema watu hao waliokolewa katika oparesheni iliyofanyika katika eneo la Gamoru jimboni Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Nigeria  John Enenche amesema mateka hao ni pamoja na wanawake 105 na watoto 136, ambao wameokolewa wilayani Mudu kwenye operesheni iliyofanywa na vikosi vya Lafiya Dole Jumapili, na sasa wako...

 

10 years ago

GPL

WASICHANA ZAIDI YA 200 WALIOTEKWA NIGERIA WAKUMBUKWA BAADA YA MWAKA 1

Wasichana zaidi ya 200 waliotekwa na Boko Haram mwaka jana. MAADHIMISHO ya mwaka mmoja tangu wasichana zaidi ya 200 kutekwa na Kundi la Boko Haram huko Chibok, kaskazini mashariki mwa Nigeria yanafanyika leo Nigeria. Wananchi wakiandamana kutaka kurudishwa kwa wasichana zaidi ya 200 waliotekwa na Boko Haram mwaka jana. Wasichana zaidi ya 200 walitekwa Aprili 14, mwaka jana na kuitikisa dunia huku baadhi ya mataifa kama Marekani...

 

9 years ago

MillardAyo

Mr Flavour yupo nje ya Nigeria, lakini hizi ndio stori zilizoenea Nigeria kuhusu yeye …

December 27 zimenifikia headlines za mkali wa hit singles za Ashaw, Golibe na Sweetie Mr Flavour, asubuhi ya December 27 ameingia katika headlines kwao Nigeria, baada ya kuaminika kuwa staa huyo yupo katika mipango ya kufunga ndoa ya siri siku ya Jumatatu ya December 28. Flavour anatajwa kutaka kumuoa babymama wake wa kwanza Sandra Okagbue kwa […]

The post Mr Flavour yupo nje ya Nigeria, lakini hizi ndio stori zilizoenea Nigeria kuhusu yeye … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kampuni ya Erolink yajitetea

Kampuni ya Uwakala wa Ajira chini ya Erolink, imekanusha taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari kuwa Mkurugenzi wa kampuni hiyo, ametoroka nchini kukwepa mkono wa Serikali kutokana na kampuni hiyo kushindwa kulipa kodi katika kipindi cha miaka mitatu ya utoaji huduma.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yajitetea ubovu miundombinu

Wizara ya Ujenzi imesema kuwa asilimia kubwa ya miundombinu iliyoharibiwa na mafuriko haikujengwa chini ya kiwango kama inavyodaiwa, bali ni matokeo ya uharibifu wa mazingira.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani