Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASICHANA ZAIDI YA 200 WALIOTEKWA NIGERIA WAKUMBUKWA BAADA YA MWAKA 1

Wasichana zaidi ya 200 waliotekwa na Boko Haram mwaka jana. MAADHIMISHO ya mwaka mmoja tangu wasichana zaidi ya 200 kutekwa na Kundi la Boko Haram huko Chibok, kaskazini mashariki mwa Nigeria yanafanyika leo Nigeria. Wananchi wakiandamana kutaka kurudishwa kwa wasichana zaidi ya 200 waliotekwa na Boko Haram mwaka jana. Wasichana zaidi ya 200 walitekwa Aprili 14, mwaka jana na kuitikisa dunia huku baadhi ya mataifa kama Marekani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wasichana zaidi watekwa nyara Nigeria

Washukiwa wa kundi la wapiganaji wa kiisilamu nchini Nigeria, Boko Haram, wamewateka nyara wasichana wengine 8 Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.

 

11 years ago

BBCSwahili

Boko H: Waonyesha wasichana waliotekwa

Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu serikali itawaachilia huru wapiganaji wake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maandamano kuhusu wasichana waliotekwa

Maandamano makubwa yamepangwa kufanyika leo nchini Nigeria kuishinikiza serikali kuwanusru wasichana waliotekwa nyara

 

11 years ago

GPL

BOKO HARAM WAONYESHA WASICHANA WALIOTEKWA

Wasichana ambao kundi la Boko Haram liliwateka nyara. Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru. Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara. Kanda hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

Boko Haram Waonyesha wasichana waliotekwa

Wasichana ambao kundi la Boko  Haram liliwateka nyara Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru. Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara. Kanda hiyo inaonyesha zaidi ya wanawake mia moja wakiwa wamevalia hijabu na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria yajitetea kuhusu waliotekwa

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nigeria amesema serikali isilaumiwe kuwa haikufanya chochote kuwaokoa wasichana waliotekwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Cameron:Waliotekwa Nigeria warejeshwe

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron ameahidi Uingereza kusaidia jitihada za kuwapata wasichana waliotekwa Nigeria

 

11 years ago

BBCSwahili

Wasiwasi kuhusu wanafunzi waliotekwa Nigeria

Hali ya wasiwasi imetanda kuhusu zaidi ya wasichana 100 waliotekwa nyara na washukiwa wa kundi la wapiganaji la Boko Haram

 

11 years ago

BBCSwahili

Malala azuru Nigeria kuwaenzi waliotekwa

Mamlaka nchini Nigeria inasema kuwa imegundua njama ya kutaka kuvilipua vituo vya usafiri katika mji mkuu wa Abuja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani