Boko Haram Waonyesha wasichana waliotekwa
Wasichana ambao kundi la Boko
Haram liliwateka nyara
Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru.
Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara.
Kanda hiyo inaonyesha zaidi ya wanawake mia moja wakiwa wamevalia hijabu na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yKq5*t5eazyrGkS0aempqwruao9729FKCo4M6VSpcBMUiqfqQv4VY6XPnYd3cMIk*b4FTqLtw1VgvEPwSZ1A13p/140512101658_nigeria_boko_haram_abducted_girls_512x288_getty_nocredit.jpg?width=600)
BOKO HARAM WAONYESHA WASICHANA WALIOTEKWA
11 years ago
BBCSwahili12 May
Boko H: Waonyesha wasichana waliotekwa
5 years ago
CCM Blog30 May
WATU 241 WALIOTEKWA NYARA NA BOKO HARAM NIGERIA WANUSURIWA
![Watu 241 waliotekwa nyara na Boko Haram Nigeria wanusuriwa](https://media.parstoday.com/image/4bpo1a9aff342814gk1_800C450.jpg)
11 years ago
BBCSwahili07 Jul
Wasichana 60 wakwepa Boko Haram
10 years ago
BBCSwahili01 Nov
Boko Haram lawaoza wasichana wa Chibok
11 years ago
BBCSwahili05 May
Boko Haram wakiri kuteka wasichana
11 years ago
BBCSwahili19 Apr
Wasichana 14 zaidi watoroka Boko Haram
11 years ago
Habarileo09 Jun
Boko Haram yasambaza mateka wasichana nje
MAMIA ya wasichana waliotekwa na kundi la Boko Haram nchini hapa wanadaiwa kuonekana wakioga na kuwapikia wanamgambo wa kundi hilo.
11 years ago
BBCSwahili08 Jun
Boko Haram labadili nia kuhusu wasichana