Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATU 241 WALIOTEKWA NYARA NA BOKO HARAM NIGERIA WANUSURIWA

Watu 241 waliotekwa nyara na Boko Haram Nigeria wanusuriwaJeshi la Nigeria limewaokoa watu 241 waliokuwa wametekwa nyara na kundi la kigaidi la Boko Haram.Katika taarifa, Wizara ya Ulinzi ya Nigeria imesema watu hao waliokolewa katika oparesheni iliyofanyika katika eneo la Gamoru jimboni Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Nigeria  John Enenche amesema mateka hao ni pamoja na wanawake 105 na watoto 136, ambao wameokolewa wilayani Mudu kwenye operesheni iliyofanywa na vikosi vya Lafiya Dole Jumapili, na sasa wako...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Watu 39 wauawa na Boko Haram-Nigeria

Utawala wa jimbo la Borno lililoko Kaskazini mwa Nigeria umesema watu 39 wameuawa katika shambulizi lililofanywa mjini Konduga

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 18 wauawa na Boko Haram-Nigeria

Wapiganaji wa Kiislamu nchini NIgeria wamekishambulia kijiji Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo na kuwaua kiasi ya watu 18.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram lawaua watu 20 Nigeria

Watu 20 wameuawa mashariki mwa Nigeria kufuatia mashambulizi mapya yanayoendeshwa na kundi la Boko Haram katika eneo hilo.

 

11 years ago

GPL

BOKO HARAM WAONYESHA WASICHANA WALIOTEKWA

Wasichana ambao kundi la Boko Haram liliwateka nyara. Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru. Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara. Kanda hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

Boko Haram Waonyesha wasichana waliotekwa

Wasichana ambao kundi la Boko  Haram liliwateka nyara Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru. Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara. Kanda hiyo inaonyesha zaidi ya wanawake mia moja wakiwa wamevalia hijabu na...

 

10 years ago

GPL

WATU WAPATAO 70 WANAOSADIKIWA KUUAWA NA BOKO HARAM WAGUNDULIKA DAMASAK, NIGERIA

Askari wa Chad na Niger wakiwa Damasak. Makumi ya miili ya watu wanaosadikiwa kuuawa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri wa Boko Haram, imegunduliwa katika Mji wa Damasak uliopo Kaskazini Mashariki mwa Nigeria. Taarifa zinaeleza kuwa, miili hiyo ya watu 70 ambayo mingi kati yake imekutwa ikiwa imekatwa vichwa, imegunduliwa na askari wa Chad na Niger katika mji huo wa Damasak nchini humo. Tayari uchunguzi umeanzishwa kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

WATU 12 WAJERUHIWA VIBAYA BAADA YA BOKO HARAM KUSHAMBULIA CHUO NIGERIA

 Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa mwanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, amefanya shambulizi la kujitoa mhanga katika Chuo kimoja cha Masomo ya Uongozi wa Biashara nchini Nigeria na kuwajeruhi wanafunzi kadhaa.Tukio hilo limetokea jana Mei 8, 2015 baada ya mtu huyo kuvuka geti na kuingia ndani ya chuo hicho na kutekeleza shambulio hilo kwa kufyatua risasi kisha kujilipua kwa mabomu.Vyombo vya habari nchini Nigeria vimeripoti kuwa, shambulizi hilo lilifanyika katika Chuo...

 

10 years ago

StarTV

Boko Haram wateka nyara watoto.

Watoto 30 wametekwa nyara na watu wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa Boko Haram.

 
Watoto hao wametekwa nyara kaskazini mashariki mwa Nigeria.

 
Tukio hili linakuja siku chache baada ya kundi hilo kuwateka wanawake na wasichana kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

 
Hadi sasa wasichana wa shule 200 waliotekwa na wanamgambo hao miezi tisa iliyopita bado hawajulikani walipo.

BBC

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram sasa lateka nyara watoto

Watoto wapatao 30 wametekwa nyara na watu wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani