WATU 12 WAJERUHIWA VIBAYA BAADA YA BOKO HARAM KUSHAMBULIA CHUO NIGERIA
Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa mwanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, amefanya shambulizi la kujitoa mhanga katika Chuo kimoja cha Masomo ya Uongozi wa Biashara nchini Nigeria na kuwajeruhi wanafunzi kadhaa.Tukio hilo limetokea jana Mei 8, 2015 baada ya mtu huyo kuvuka geti na kuingia ndani ya chuo hicho na kutekeleza shambulio hilo kwa kufyatua risasi kisha kujilipua kwa mabomu.Vyombo vya habari nchini Nigeria vimeripoti kuwa, shambulizi hilo lilifanyika katika Chuo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLBOKO HARAM YASHAMBULIA CHUO NIGERIA, 12 WAJERUHIWA VIBAYA
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Boko Haram lawaua watu 20 Nigeria
11 years ago
BBCSwahili21 Jan
Watu 18 wauawa na Boko Haram-Nigeria
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Watu 39 wauawa na Boko Haram-Nigeria
5 years ago
CCM Blog30 May
WATU 241 WALIOTEKWA NYARA NA BOKO HARAM NIGERIA WANUSURIWA
10 years ago
GPLWATU WAPATAO 70 WANAOSADIKIWA KUUAWA NA BOKO HARAM WAGUNDULIKA DAMASAK, NIGERIA
10 years ago
VijimamboWATU ZAIDI YA 25 WAJERUHIWA VIBAYA KATIKA AJALI YA COSTA SENJELE MBEYA.
Baadhi ya majeruhi wakitafuta mizigo yao mara baada ya kutoka ndani ya basi hilo
Baadhi ya majeruhi wakitoka ndani ya basi hilo.Picha na Mbeya yetu
Baadhi ya abilia wakitaka kumpiga Dereva wagari ya aina ya Suzuki kuwa yeye ndio alisababisha ajali hiyo kwa kuyumbayumba kwake barabarani
Moja ya wasamaria wema akiwazuia abiria wenye hasira kali kutaka kumpiga mzee huyo Mwenye Suzuki ambae alijulikana kwa jina moja tu mzee Mtawa
Mwandishi wa habari Kenneth Mwazembeakiwasili katika Hospitali ya...
10 years ago
BBCSwahili22 Aug
Boko Haram Wateka Chuo Cha Polisi
10 years ago
BBCSwahili05 Nov
Boko Haram washambulia Nigeria