Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Boko Haram Wateka Chuo Cha Polisi

Chuo kinachozalisha maofisa wa polisi nchini Naigeria kimetekwa na Boko Haram

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Boko Haram wateka nyara watoto.

Watoto 30 wametekwa nyara na watu wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa Boko Haram.

 
Watoto hao wametekwa nyara kaskazini mashariki mwa Nigeria.

 
Tukio hili linakuja siku chache baada ya kundi hilo kuwateka wanawake na wasichana kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

 
Hadi sasa wasichana wa shule 200 waliotekwa na wanamgambo hao miezi tisa iliyopita bado hawajulikani walipo.

BBC

 

10 years ago

GPL

BOKO HARAM YASHAMBULIA CHUO NIGERIA, 12 WAJERUHIWA VIBAYA

Shambulio la Boko Haram nchini Nigeria. Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa mwanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, amefanya shambulizi la kujitoa mhanga katika Chuo kimoja cha Masomo ya Uongozi wa Biashara nchini Nigeria na kuwajeruhi wanafunzi kadhaa. Tukio hilo limetokea jana Mei 8, 2015 baada ya mtu huyo kuvuka geti na kuingia ndani ya chuo hicho na kutekeleza shambulio hilo kwa kufyatua risasi kisha kujilipua kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

WATU 12 WAJERUHIWA VIBAYA BAADA YA BOKO HARAM KUSHAMBULIA CHUO NIGERIA

 Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa mwanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, amefanya shambulizi la kujitoa mhanga katika Chuo kimoja cha Masomo ya Uongozi wa Biashara nchini Nigeria na kuwajeruhi wanafunzi kadhaa.Tukio hilo limetokea jana Mei 8, 2015 baada ya mtu huyo kuvuka geti na kuingia ndani ya chuo hicho na kutekeleza shambulio hilo kwa kufyatua risasi kisha kujilipua kwa mabomu.Vyombo vya habari nchini Nigeria vimeripoti kuwa, shambulizi hilo lilifanyika katika Chuo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kituo cha Boko Haram chashambuliwa

Jeshi la Nigeria limesema kuwa limekishambulia kituo cha ujasusi cha kundi la wapiganaji wa Boko Haram

 

9 years ago

BBCSwahili

Boko Haram yafichua kiwanda cha mabomu

Kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Boko Haram wamezindua kiwanda wanachotumia kuunda mabomu na silaha zingine kali kaskazini mwa Nigeria

 

9 years ago

StarTV

Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi chatajwa kuwa mfano

Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi MPA mkoani Kilimanjaro kimetajwa kuwa huenda kikawa chuo cha mfano kwa wakulima wa mbogamboga na matunda mkoani humo kutokana na kuanzisha kilimo bora cha kisasa ambacho kinatajwa kuleta tija zaidi.

Mkuu wa chuo hicho Matanga Mbushi amebainisha hayo wakati wa ziara ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla alipotembelea chuoni hapo na kujionea hali halisi ya kilimo hicho.

 Aslimia kubwa ya wakulima wa mbogamboga na matunda hapa nchini  hulima kwa...

 

10 years ago

GPL

POLISI WAKANUSHA TISHIO LA MAGAIDI KUSHAMBULIA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas. Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha wakiendelea na masomo. KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas,  amekanusha uvumi ulioenea katika mitandao ya jamii kuhusu kukamatwa magaidi  mkoani  Arusha usiku wa kuamkia leo waliokuwa wamejitayarisha kukishambulia Chuo cha Uhasibu (Institute of Accountancy Arusha - IAA) wakidaiwa kuwa na gari aina ya Toyota Premio nyeusi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanachuo 212 wa Chuo cha Polisi Moshi wafukuzwa kwa kughushi vyeti

>Jeshi la Polisi limewafukuza chuo wanafunzi wa mafunzo ya uaskari 212 wa Chuo Cha Taaluma Moshi baada ya wanafunzi hao kubainika kughushi vyeti vya elimu ya sekondari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani