POLISI WAKANUSHA TISHIO LA MAGAIDI KUSHAMBULIA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA
![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-heJQ1h52KMUMf6BIV1M2iSkkPtG5UaJbRkrlhS-e3zChmwhmVWNo7eQVISGfZJgCekG1U5-Rt3yn-eNcLVuYkT3/11129626_1193267037354379_7095297692473874874_n.jpg)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas. Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha wakiendelea na masomo. KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, amekanusha uvumi ulioenea katika mitandao ya jamii kuhusu kukamatwa magaidi mkoani Arusha usiku wa kuamkia leo waliokuwa wamejitayarisha kukishambulia Chuo cha Uhasibu (Institute of Accountancy Arusha - IAA) wakidaiwa kuwa na gari aina ya Toyota Premio nyeusi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi28 Jul
MAMIA WAMUAGA ALIYEKUWA MHADHIRI MWANDAMIZI WA CHUO CHA UHASIBU DAR ES SALAAM(SASA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA) JIJINI DAR ES SALAAM
![](https://3.bp.blogspot.com/-3FvDjqPdnng/U9VIpXDi-NI/AAAAAAACzvw/xGx8-QGxyvs/s1600/image.jpeg)
11 years ago
Habarileo06 Jul
Vigogo Chuo cha Uhasibu kizimbani
MKUU wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Profesa Johannes Monyo na wenzake saba wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakituhumiwa kwa makosa manne tofauti yakiwemo ya uhujumu uchumi na kuisababishia hasara serikali kiasi cha Sh 6,258,448.60.
10 years ago
Habarileo15 Aug
Kesi ya Mkuu Chuo cha Uhasibu Sept 22
HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Arusha, Mustapher Siyan amesema kuwa kesi inayomkabili Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Profesa Johannes Monyo na wenzake saba itaanza kusikilizwa Septemba 22 mwaka huu.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-x0l7w5j7XSA/VmqiCkM0D-I/AAAAAAAADQc/owQRxx6bMmo/s72-c/felister.jpg)
MAHAFALI CHUO CHA UHASIBU KURASINI JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-x0l7w5j7XSA/VmqiCkM0D-I/AAAAAAAADQc/owQRxx6bMmo/s640/felister.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-48kz920ia7w/Vmqkfjr761I/AAAAAAAADQo/u9scetzlAVQ/s640/jane%2Bna%2Bedna.jpg)
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Mahafali ya 12 ya Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) yafana, jijini Dar es Salaam
Kikosi cha band cha Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.
![5](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/52.jpg)
10 years ago
GPLMAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA UHASIBU TANZANIA (TIA) YAFANA, JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/sUP0ZTFjzlQ/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GoIJVVec4cg/VfboZMCUQ4I/AAAAAAADYeI/pV5A_KnaQXo/s72-c/642.jpg)
JK ALIPOFUNGUA CHUO CHA UKAMANDA NA UNADHIMU CHA JWTZ ARUSHA
![](http://3.bp.blogspot.com/-GoIJVVec4cg/VfboZMCUQ4I/AAAAAAADYeI/pV5A_KnaQXo/s640/642.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Sz5TNF9TJho/VfbocymZbUI/AAAAAAADYeg/xJHcdse6SDE/s640/449.jpg)
10 years ago
Dewji Blog08 Aug
Wanafunzi na wananchi wafurahia Banda la Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) Nane nane Arusha
![](http://4.bp.blogspot.com/-94O9A6hDbYo/VcReU1OyB0I/AAAAAAAAElc/DwwMSi3IKWs/s640/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-lotPTiG3R8k/VcReW6COLMI/AAAAAAAAElk/NkTbq2vbtcw/s640/3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4GUi4tsxihQ/VcReZgOJupI/AAAAAAAAEls/KmWz-N-Ka2M/s640/4.jpg)