Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya Mkuu Chuo cha Uhasibu Sept 22

HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Arusha, Mustapher Siyan amesema kuwa kesi inayomkabili Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Profesa Johannes Monyo na wenzake saba itaanza kusikilizwa Septemba 22 mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA ALIYEKUWA MHADHIRI MWANDAMIZI WA CHUO CHA UHASIBU DAR ES SALAAM(SASA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA) JIJINI DAR ES SALAAM


Mwili wa Marehemu Sydney Damson ambaye aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo cha Uhasibu Dar es Salaam(sasa kikijulikana Taasisi ya Uhasibu Tanzania) ukiwasili nyumbani kwake Tandika Magorofani, Wilayani Temeke tayari kwa taratibu za kuaga kabla ya kwenda mazikoni.Mchungaji wa Kanisa la Moravian, Mchungaji Mwakalinga(kushoto) akiendesha Ibada Maalum ya kumuombea Marehemu Sydney Damson kabla ya zoezi la kuuaga mwili wa Marehemu kuanza nyumbani kwake Tandika Magorofani leo Julai 27, 2014 Temeke Jijini...

 

11 years ago

Habarileo

Vigogo Chuo cha Uhasibu kizimbani

MKUU wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Profesa Johannes Monyo na wenzake saba wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakituhumiwa kwa makosa manne tofauti yakiwemo ya uhujumu uchumi na kuisababishia hasara serikali kiasi cha Sh 6,258,448.60.

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI CHUO CHA UHASIBU KURASINI JIJINI DAR

Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu(BAC) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Felister Kulaya,Janeth Maleto,Eliza Hollo na Oscar Uwesu wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam. Wahitimu wa Stashahada ya Uhasibu (DA) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Janet na Edna wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu...

 

10 years ago

GPL

POLISI WAKANUSHA TISHIO LA MAGAIDI KUSHAMBULIA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas. Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha wakiendelea na masomo. KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas,  amekanusha uvumi ulioenea katika mitandao ya jamii kuhusu kukamatwa magaidi  mkoani  Arusha usiku wa kuamkia leo waliokuwa wamejitayarisha kukishambulia Chuo cha Uhasibu (Institute of Accountancy Arusha - IAA) wakidaiwa kuwa na gari aina ya Toyota Premio nyeusi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mahafali ya 12 ya Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) yafana, jijini Dar es Salaam


Kikosi cha band cha Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.

 Wahadhiri wa Taasisi hiyo pamoja na mgeni rasimi wakiandamana kwenda uwanjani tayari kwa hafla hiyo.

Wahitimu wakiandamana kwenda uwanjani tayari kwa hafla hiyo. 5 Meza kuu  Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo, Shah Hanzuruni akizungumza jambo.     Wahitimu wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA), wakiwa katika mahafali yao hayo.  Baadhi ya wahitmu wa Chuo hicho, wakitunukiwa shahada...

 

10 years ago

GPL

MAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA UHASIBU TANZANIA (TIA) YAFANA, JIJINI DAR ES SALAAM‏

Kikosi cha band cha Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.
 Wahadhiri wa Taasisi hiyo pamoja na mgeni rasmi wakiandamana kwenda uwanjani tayari kwa hafla hiyo.…

 

9 years ago

Habarileo

Uchaguzi mkuu chama cha albino Sept.26

WAJUMBE wa Chama cha Watu wenye Ulemavu wa Ngozi (TAS) mkoani Morogoro wanatarajia kufanya uchaguzi mkuu Septemba 26, mwaka huu kwa ajili ya kupata safu ya viongozi kwa kipindi cha miaka mitano hadi 2020.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya Mkuu wa Chuo Njiro yaahirishwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeahirisha kesi inayomkabili Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Njiro (IAAA), Johannes Monyo na wenzake 10 na kuipanga leo kwa ajili ya washitakiwa kusomewa maelezo ya awali.

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA CHUO CHA CBE ATOA UFAFANUZI KUHUSU HABARI ZILIZOCHAPISHWA KWA LENGO LA KUUPOTOSHA UMMA KUHUSU CHUO CHAKE

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu habari za upotoshaji zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya mitandao ya kijamii kuhusu chuo hicho, leo jijini Dar es salaam.
Na. Aron Msigwa – MAELEZO.
Mkuu wa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema amesema kuwa habari zilizoandikwa na kuchapishwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya mitandao ya kijamii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani