MAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA UHASIBU TANZANIA (TIA) YAFANA, JIJINI DAR ES SALAAM
Kikosi cha band cha Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.  Wahadhiri wa Taasisi hiyo pamoja na mgeni rasmi wakiandamana kwenda uwanjani tayari kwa hafla hiyo.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Mahafali ya 12 ya Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) yafana, jijini Dar es Salaam
Kikosi cha band cha Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.
11 years ago
Michuzi28 Jul
MAMIA WAMUAGA ALIYEKUWA MHADHIRI MWANDAMIZI WA CHUO CHA UHASIBU DAR ES SALAAM(SASA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA) JIJINI DAR ES SALAAM
Mwili wa Marehemu Sydney Damson ambaye aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo cha Uhasibu Dar es Salaam(sasa kikijulikana Taasisi ya Uhasibu Tanzania) ukiwasili nyumbani kwake Tandika Magorofani, Wilayani Temeke tayari kwa taratibu za kuaga kabla ya kwenda mazikoni.Mchungaji wa Kanisa la Moravian, Mchungaji Mwakalinga(kushoto) akiendesha Ibada Maalum ya kumuombea Marehemu Sydney Damson kabla ya zoezi la kuuaga mwili wa Marehemu kuanza nyumbani kwake Tandika Magorofani leo Julai 27, 2014 Temeke Jijini...
9 years ago
MichuziMAHAFALI CHUO CHA UHASIBU KURASINI JIJINI DAR
Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu(BAC) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Felister Kulaya,Janeth Maleto,Eliza Hollo na Oscar Uwesu wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam. Wahitimu wa Stashahada ya Uhasibu (DA) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Janet na Edna wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu...
10 years ago
MichuziMAONYESHO YA CHUO CHA UTALII TANZANIA YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Utalii Tanzania, Rosada Msoma akizungumza na wanafunzi na wakufunzi wa chuo cha Utalii(hawapo pichani) katika maonyesho ya utalii yaliyofanyika katika chuo hicho kampasi ya Bustani leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Fedha wa chuo cha utalii Tanzania Neema Kusiga, (watano katikati),Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Utalii Tanzania, Rosada Msoma akiwa na wakufunzi wa Chuo cha Utalii Tanzania kutoka kampasi tatu za chuo hicho iliyofanyika...
9 years ago
MichuziDkt. Pindi Chana mgeni rasmi katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es salaam
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb) akihutubia wasichana waliohitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, na ususi wa nywele kwenye mahafali ya yaliyofanyika katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es salaam tarehe 20/08/2015. Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb)akimpongeza Bi. Jane Malyi kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na urembo mara baada ya kutoa neno...
9 years ago
MichuziMAHAFALI YA 10 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas Katebalilwe akihutubia kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi. Brass Bendi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ikiongoza maandamano wakati wa mahafali hayo. Wahitimu waliofanya vizuri masomo yao wakiwa katika icha ya pamoja na meza kuu.
KWA...
KWA...
9 years ago
Michuzimahafali ya 14 ya Mzumbe kampasi ya dar es salaam yafana, chuo chaazimia kujenga uwezo wa wajasiriamali wa viwanda vidogo
Chuo Kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam kinatarajia kuanza kuwajengea uwezo wajasiriamali wa viwanda vidogo ili kuunga mkono juhudi za serikali katika kuiendeleza sekta hiyo na kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo. Kaimu Makamu wa Chuo hicho, Profesa Josephat Itika alisema wakati wa mahafali ya 14 kuwa kwa sasa Kampasi hiyo inaandaa miradi mbalimbali ya ushauri na kozi fupi kwa kushirikiana na chuo cha Stellenbosch cha Afrika Kusini tayari kuanza kwa mpango huo mwakani. Alisema pia...
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzimahafali ya tano ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi yafana jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Dk Clemence Tesha (kushoto) akiwaapisha wahitimu wa shahada ya kwanza ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi, kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam Wahitimu wa Mahafali ya tano ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakionekana wenye furaha muda mfupi baada ya kutunukiwa vyeti, stashahada na shahada za ununuzi na ugavi kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania