mahafali ya tano ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi yafana jijini Dar es Salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-4-c39yotXXk/VDAPdRQBXiI/AAAAAAAGn00/KGP3Axxo3rY/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
Mkurugenzi wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Dk Clemence Tesha (kushoto) akiwaapisha wahitimu wa shahada ya kwanza ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi, kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam
Wahitimu wa Mahafali ya tano ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakionekana wenye furaha muda mfupi baada ya kutunukiwa vyeti, stashahada na shahada za ununuzi na ugavi kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog04 Oct
Mahafali ya sita ya bodi ya wataalam wa ununuzi na ugavi yafana
Mwenyekiti wa Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi Dr. Sr Hellen Bandiho akifungua rasmi kusanyiko la mahafali.
Wataalam wa Ununuzi na Ugavi nchini wameaswa kutekeleza majukumu yao kwa weledi na kuzingatia miiko na maadili inayoongoza taaluma yao ili kuleta tija kwenye matumizi ya fedha za watanzania. Aidha Bodi imeagizwa kusimamia kwa ukaribu zaidi mienendo ya wanataaluma waliosajiliwa. Hayo yalisemwa na Dk. Hamis Mwinimvua Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha akimwakilisha Mgeni Rasmi Waziri...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-pBGKj6SvguM/VhBszB1QNtI/AAAAAAAH8rU/hwcE9vd6jNY/s72-c/New%2BPicture.png)
MAHAFALI YA SITA YA BODI YA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI
Hayo yalisemwa na Dk. Hamis Mwinimvua Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha akimwakilisha Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Mheshimiwa Saada Mkuya Salum kwenye sherehe za mahafali ya sita ya wataalam wa ununuzi na ugavi...
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Mahafali ya 12 ya Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) yafana, jijini Dar es Salaam
Kikosi cha band cha Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.
![5](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/52.jpg)
10 years ago
GPLMAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA UHASIBU TANZANIA (TIA) YAFANA, JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi24 Feb
PSPTB YAFANYA SEMINA YA UTAFITI KWA WANAFUNZI WA BODI YA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI
10 years ago
Michuzi16 Feb
Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yatoa mafunzo kwa wataalamu wake
Mafunzo hayo yalifunguliwa jana, na mjumbe wa bodi ya wakurugenzi, Bw, Aziz Kilonge, ambaye aliwaasa wataalam hao kuhakikisha kwamba wanasimamia wanafunzi kwa ukamilifu ili kuongeza ubora wa kazi za utafiti zinazofanywa.
Aidha, alifafanua kuwa uzingatiaji wa maadili katika kufanya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-V-pDJNcDd2Q/Xo3cylbMMJI/AAAAAAAC89Q/7LurTBWkHeY7NVFxpGSOlZXKm6ZGrxtWwCLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yazindua wimbo maalum wenye lengo la kuhamasisha Wanataaluma
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo, Godfred Mbanyi amesema wimbo huo umejikita zaidi Wanataaluma kujisajili na Bodi na kufanya Mitihani ya Bodi na kubobea zaidi katika Taaluma hiyo.
Mbanyi amesema wimbo huo umetoa ujumbe mahsusi wa majukumu, kazi ambayo Bodi...
11 years ago
Dewji Blog28 Jul
Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaendesha warsha ya uandishi bora wa tafiti kwa wataalamu wake
Aziz Kilonge Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa kufunga warsha ya mafunzo ya uandishi bora wa tafiti ili kukidhi hitaji la msingi la kuhitimu taaluma ya ununuzi na ugavi iliyoratibiwa na kuendeshwa na Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kuazia tarehe 21 julai mpaka 25 julai 2014. kwenye ukumbi wa baraza la maaskofu TEC-Kurasini jijini Dar es salaam akiwa katika picha ya pamoja na wakufunzi, washiriki...
9 years ago
Michuzimahafali ya 14 ya Mzumbe kampasi ya dar es salaam yafana, chuo chaazimia kujenga uwezo wa wajasiriamali wa viwanda vidogo