Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yazindua wimbo maalum wenye lengo la kuhamasisha Wanataaluma
![](https://1.bp.blogspot.com/-V-pDJNcDd2Q/Xo3cylbMMJI/AAAAAAAC89Q/7LurTBWkHeY7NVFxpGSOlZXKm6ZGrxtWwCLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imezindua wimbo maalum wenye lengo la kuhamasisha Wanataaluma kujiunga na Bodi hiyo sambamba na kutoa elimu kwa umma kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo, Godfred Mbanyi amesema wimbo huo umejikita zaidi Wanataaluma kujisajili na Bodi na kufanya Mitihani ya Bodi na kubobea zaidi katika Taaluma hiyo.
Mbanyi amesema wimbo huo umetoa ujumbe mahsusi wa majukumu, kazi ambayo Bodi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi24 Feb
PSPTB YAFANYA SEMINA YA UTAFITI KWA WANAFUNZI WA BODI YA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI
10 years ago
Michuzi16 Feb
Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yatoa mafunzo kwa wataalamu wake
Mafunzo hayo yalifunguliwa jana, na mjumbe wa bodi ya wakurugenzi, Bw, Aziz Kilonge, ambaye aliwaasa wataalam hao kuhakikisha kwamba wanasimamia wanafunzi kwa ukamilifu ili kuongeza ubora wa kazi za utafiti zinazofanywa.
Aidha, alifafanua kuwa uzingatiaji wa maadili katika kufanya...
11 years ago
Dewji Blog28 Jul
Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaendesha warsha ya uandishi bora wa tafiti kwa wataalamu wake
Aziz Kilonge Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa kufunga warsha ya mafunzo ya uandishi bora wa tafiti ili kukidhi hitaji la msingi la kuhitimu taaluma ya ununuzi na ugavi iliyoratibiwa na kuendeshwa na Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kuazia tarehe 21 julai mpaka 25 julai 2014. kwenye ukumbi wa baraza la maaskofu TEC-Kurasini jijini Dar es salaam akiwa katika picha ya pamoja na wakufunzi, washiriki...
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
PSPTB na mageuzi katika kusimamia ununuzi, ugavi
SERIKALI ilianza kufanya mabadiliko ya kiuchumi mwanzoni mwa miaka ya 1990 ili kuhakikisha umma unapata huduma bora na kwa wakati. Wataalamu wa masuala ya uchumi wanasema mageuzi huwa yanaleta manufaa...
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Bodi ya ugavi yatakiwa kusimamia wanataaluma
BODI ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), imetakiwa kusimamia mienendo ya wanataaluma ili kuhakikisha kunakuwa na heshima na maadili ya fani na kazi. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-pBGKj6SvguM/VhBszB1QNtI/AAAAAAAH8rU/hwcE9vd6jNY/s72-c/New%2BPicture.png)
MAHAFALI YA SITA YA BODI YA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI
Hayo yalisemwa na Dk. Hamis Mwinimvua Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha akimwakilisha Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Mheshimiwa Saada Mkuya Salum kwenye sherehe za mahafali ya sita ya wataalam wa ununuzi na ugavi...
9 years ago
Dewji Blog04 Oct
Mahafali ya sita ya bodi ya wataalam wa ununuzi na ugavi yafana
Mwenyekiti wa Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi Dr. Sr Hellen Bandiho akifungua rasmi kusanyiko la mahafali.
Wataalam wa Ununuzi na Ugavi nchini wameaswa kutekeleza majukumu yao kwa weledi na kuzingatia miiko na maadili inayoongoza taaluma yao ili kuleta tija kwenye matumizi ya fedha za watanzania. Aidha Bodi imeagizwa kusimamia kwa ukaribu zaidi mienendo ya wanataaluma waliosajiliwa. Hayo yalisemwa na Dk. Hamis Mwinimvua Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha akimwakilisha Mgeni Rasmi Waziri...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4-c39yotXXk/VDAPdRQBXiI/AAAAAAAGn00/KGP3Axxo3rY/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
mahafali ya tano ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi yafana jijini Dar es Salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-4-c39yotXXk/VDAPdRQBXiI/AAAAAAAGn00/KGP3Axxo3rY/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-0kkbxm7BKKQ/VDAPdsQNSKI/AAAAAAAGn04/J-24oK5nM-0/s1600/unnamed%2B(12).jpg)
10 years ago
StarTV03 Dec
Bodi ya PSPTB yaagizwa kutafuta ufumbuzi.
Na Ramadhani Mvungi, Arusha.
Wizara ya Fedha imeitaka Bodi ya Wataalam wa Manunuzi na Ugavi (PSPTB) kutafuta ufumbuzi wa tatizo la kufanya manunuzi bila kuzingatia thamani halisi ya fedha.
Wizara hiyo pia imewataka waajiri kuacha kuwaajiri watumishi ambao hawajasajiliwa na bodi hiyo kufanya shughuli za ununuzi na ugavi.
Akifungua Mkutano wa 5 wa bodi ya PSPTB jijini Arusha, Naibu Waziri wa Fedha Adam Kighoma Malima ameiagiza bodi hiyo kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo kutokana na kila...