Wanachuo 212 wa Chuo cha Polisi Moshi wafukuzwa kwa kughushi vyeti
>Jeshi la Polisi limewafukuza chuo wanafunzi wa mafunzo ya uaskari 212 wa Chuo Cha Taaluma Moshi baada ya wanafunzi hao kubainika kughushi vyeti vya elimu ya sekondari.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNews Alert:WANAFUNZI 212 WA UASKARI CHUO CHA TAALUMA YA POLISI MOSHI WAFUKUZWA BAADA YA KUBAINIKA KUTUMIA VYETI FEKI
CHUO cha mafunzo ya taaluma ya Jeshi la polisi Moshi (MPA), kimewafukuzisha mafunzo jumla ya wanafunzi wa uaskari 212, kutokana na sababu za kughushi vyeti vya elimu ya sekondari..
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Taaluma na Utumishi wa jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye katika kikao na waandishi wa habari kilichofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha mafunzo ya taluma ya Polisi mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Kamishna...
9 years ago
StarTV11 Nov
Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi chatajwa kuwa mfano
Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi MPA mkoani Kilimanjaro kimetajwa kuwa huenda kikawa chuo cha mfano kwa wakulima wa mbogamboga na matunda mkoani humo kutokana na kuanzisha kilimo bora cha kisasa ambacho kinatajwa kuleta tija zaidi.
Mkuu wa chuo hicho Matanga Mbushi amebainisha hayo wakati wa ziara ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla alipotembelea chuoni hapo na kujionea hali halisi ya kilimo hicho.
Aslimia kubwa ya wakulima wa mbogamboga na matunda hapa nchini hulima kwa...
11 years ago
MichuziASKARI CHUO CHA POLISI MOSHI WAFANYA UTALII WA NDANI MLIMA KILIMANJARO
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
GPLWANACHUO WAWILI WA CHUO CHA CBE DODOMA WAPATA GPA YA 4.9
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2KTHCUaNJ0dkXtSVVVXvaX*9OKkFSuKBs2ieh8Vt5ZupX6ZiciyhQo4P6NLU6vkyHRzWRP03KS-vLKZceVyxlYJ/WANACHUOVIKINDU1.jpg?width=650)
WANACHUO WA CHUO CHA UALIMU VIKINDU WALAANI UTARATIBU MBOVU WA UGAWAJI CHAKULA
10 years ago
MichuziWANACHUO WAWILI WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) DODOMA WAPATA GPA YA 4.9
Kwa kile ambacho kimeonekana ni tishio kwa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) wanafunzi hawa kutoka kampasi ya Dodoma wameweza kupata ufaulu ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/omkt7cwbhXKmbZtyTakf6zIDeaM-Tqcl47yRkY7-EtPU7U3t-KUuPHqwuP1bBR47CqzwWzT01S*5EYoS3s41IddeoJAKFLRV/chuo.jpg?width=650)
WANAFUNZI WAWILI WA CHUO CHA MWENGE MOSHI WATUHUMIWA KWA UBAKAJI
11 years ago
Habarileo24 Mar
NECTA: Picha kwenye vyeti zimepunguza kughushi
BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), limesema tangu kuanza mfumo wa kuweka picha kwenye vyeti vya kidato cha nne na sita kumepunguza kwa kiwango kikubwa vitendo vya kughushi.
11 years ago
Habarileo22 Jun
Sekretarieti yabaini vyeti 1,035 vya kughushi
SEKRETARIETI ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeshabaini vyeti vya kughushi 1,035 kutoka kwa baadhi ya waombaji kazi tangu mpango wa kuhakiki vyeti ulipoanza hadi mwezi Mei mwaka huu.