Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sekretarieti yabaini vyeti 1,035 vya kughushi

SEKRETARIETI ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeshabaini vyeti vya kughushi 1,035 kutoka kwa baadhi ya waombaji kazi tangu mpango wa kuhakiki vyeti ulipoanza hadi mwezi Mei mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

NECTA: Picha kwenye vyeti zimepunguza kughushi

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), limesema tangu kuanza mfumo wa kuweka picha kwenye vyeti vya kidato cha nne na sita kumepunguza kwa kiwango kikubwa vitendo vya kughushi.

 

10 years ago

Mtanzania

‘Wanaodaiwa kughushi vyeti BoT wana kesi ya kujibu’

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

WAFANYAKAZI wanane wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wanaokabiliwa na tuhuma za kughushi vyeti vya kidato cha nne wamekutwa wana kesi ya kujibu.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kupitia ushahidi wa mashahidi wanane wa upande wa mashtaka na kuona kwamba kuna haja kwa washtakiwa kujitetea.
Washtakiwa katika kesi hiyo ni Justina Mungai, Christina Ntemi, Siamini Kombakono, Janeth Mahenge, Beata Massawe, Jackline Juma,
Philimina...

 

9 years ago

Mwananchi

Kasi ya Magufuli yabaini vyeti feki 219

Ni utaratibu wa kuwabaini watumishi walioghushi vyeti vya elimu kwa lengo la kupata ajira

 

11 years ago

Mwananchi

Wanachuo 212 wa Chuo cha Polisi Moshi wafukuzwa kwa kughushi vyeti

>Jeshi la Polisi limewafukuza chuo wanafunzi wa mafunzo ya uaskari 212 wa Chuo Cha Taaluma Moshi baada ya wanafunzi hao kubainika kughushi vyeti vya elimu ya sekondari.

 

9 years ago

Global Publishers

Kasi ya rais Magufuli yabaini vyeti feki 219

1Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki.

Kasi ya Mawaziri wa Rais John Pombe Magufuli kufanya ziara za kushtukiza na kutoa maagizo kwa watendaji imeanza kufumua uozo baada ya jana kubainika kuwa watumishi 219 kati ya 704 wa serikali wameajiriwa kwa vyeti vya kughushi.

Sakata hilo liliibuliwa baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki kutembelea Idara,vitengo vya Usimamizi wa...

 

11 years ago

Michuzi

KUTANGAZA KWA KUPOTEA KWA VYETI VYA SECONDARY NA VYETI VYA KUZALIWA


Katika mazingira ya yasiyoelweka, natangaza KUPOTEA kwa vyeti vya kuzaliwa vyenye majina ya Marianne Mwiki na Even Mwiki.

ACSE from Lutheran Junior Seminary mwaka 2001 CSE from Mpwapwa Secondary School mwaka 1997


Mara ya mwisho vilitumwa Arusha Tanzania 2005,


Mwenye taarifa ya mtu yeyote kujiita Marianne Mwiki katika nafasi yeyote ya kazi, shule ama chuo  sehemu yeyote, tafadhali tujulishe haraka iwezekanavyo, zawadi kubwa itatolewa kwa Mwenye taarifa yeyote itakayoweza kusaidia...

 

10 years ago

Michuzi

RAIA WAPYA WA TANZANIA WASHANGILIA KUPEWA VYETI VYA URAIA, MAMA MJAMZITO AJIFUNGUA AKIWA KATIKA KITUO CHA KUPOKELEA VYETI

Kiongozi wa Ofisi ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR) katika Makazi ya Mishamo, Adolph Bishanga akimkabidhi chandarua na shuka raia mpya wa Tanzania, ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Kapemba, Kata ya Mishamo, wilayani Mpanda, Ageva Moses (kulia) baada ya kujifungua mtoto wa kiume wakati akiwa katika kituo cha kupokelea cheti cha uraia katika Kijiji cha Ifumbula wilayani humo. Licha ya maafisa wa Serikali pamoja na UNHCR kutoa maelekezo kuwa wagonjwa na wasiojiweza...

 

9 years ago

Mwananchi

TBS yabaini vifaa feki vya umeme jua

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limewataka wafanyabiashara wanaouza bidhaa hafifu za moduli feki za umeme nuru ‘Solar Power Panels’ kuziondoa madukani haraka, kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa.

 

11 years ago

TheCitizen

New union gets 1,035 members

The National Union of Mine and Energy Workers of Tanzania (NUMET) has registered 1,035 members since getting official registration in February, last year.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani