Kasi ya rais Magufuli yabaini vyeti feki 219
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki.
Kasi ya Mawaziri wa Rais John Pombe Magufuli kufanya ziara za kushtukiza na kutoa maagizo kwa watendaji imeanza kufumua uozo baada ya jana kubainika kuwa watumishi 219 kati ya 704 wa serikali wameajiriwa kwa vyeti vya kughushi.
Sakata hilo liliibuliwa baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki kutembelea Idara,vitengo vya Usimamizi wa...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Kasi ya Magufuli yabaini vyeti feki 219
11 years ago
Habarileo22 Jun
Sekretarieti yabaini vyeti 1,035 vya kughushi
SEKRETARIETI ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeshabaini vyeti vya kughushi 1,035 kutoka kwa baadhi ya waombaji kazi tangu mpango wa kuhakiki vyeti ulipoanza hadi mwezi Mei mwaka huu.
9 years ago
Mwananchi07 Sep
TBS yabaini vifaa feki vya umeme jua
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Ndio kusema Rais wa Ghana kaiga kasi ya Rais Magufuli ??!! cheki alivyoanza kubana safari za nje..
Kama ni mfatiliaji wa masuala ya kila kinachoendelea kwenye headlines kubwa kutoka Tanzania zilizofanikiwa kuteka zaidi siku chache zilizopita, ni ishu ya kasi ya Rais Magufuli kwenye utendaji wake huku akisisitiza kubana matumizi ya Serikali. Kwenye kubana matumizi kwa sasa Rais Magufuli aliagiza pia kuzuia safari za viongozi nje ya nchi… Rais wa Ghana pia […]
The post Ndio kusema Rais wa Ghana kaiga kasi ya Rais Magufuli ??!! cheki alivyoanza kubana safari za nje.. appeared first on...
11 years ago
Mwananchi29 May
Vyeti ‘feki’ vyatawala Simba
10 years ago
Habarileo11 Oct
Watumishi 1,360 wakutwa na vyeti feki
UDANGANYIFU katika vyeti wakati wa kuomba ajira umeendelea kukithiri nchini, ambapo ndani ya mwaka mmoja tu, kuanzia Julai mwaka jana mpaka Juni mwaka huu, watumishi 1,360 wamekutwa na vyeti visivyo halali. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde, alisema hayo jana mbele ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya baraza hilo.
11 years ago
Mwananchi21 May
Wenye vyeti feki wakaangwa bungeni
9 years ago
Habarileo19 Dec
Watumishi waliotumia vyeti feki kukiona
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, ameiagiza Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu (Utumishi) kuwachukulia hatua watumishi waliobainika kutumia vyeti visivyo vyao, kupata ajira serikalini.
10 years ago
Mwananchi23 Jul
Vyeti feki ni tatizo linalohitaji ufumbuzi haraka