Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBS yabaini vifaa feki vya umeme jua

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limewataka wafanyabiashara wanaouza bidhaa hafifu za moduli feki za umeme nuru ‘Solar Power Panels’ kuziondoa madukani haraka, kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UFUNGUZI WA KITUO CHA UTENGENEZAJI VIFAA VYA UMEME WA JUA,KIBOKWA.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa kituo cha kufundishia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua Bibi Meagan  Garnahan wakati aliposawasili katika uzinduzi wa kituo hicho katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A Unguja leo  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Bw.Abdul Barwan Abdalla kuhusu ufugaji wa nyuki kwa kutumia...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA VIFAA VYA UMEME DAR WALALAMIKIA NYAYA ZISIZO NA UBORA,WAIOMBA TBS KUFANYA MSAKO


Na Mwandishi Wetu
BAADHI ya wafanyabiashara ya kuuza vifaa vya umeme vya aina mbalimbali katika Jiji la Dar es Salaam wamelalamikia uwepo wa vifaa hivyo na hasa nyaya ambazo ziko chini ya kiwango na ubora ambazo zinatengenezwa na baadhi ya viwanda vilivyopo nchini, hivyo wametoa ombi kwa Serikali kupitia Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na tume ya ushindani (FCC) kufanya msako viwandani na madukani ili kubaini.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Habarileo

TBS yaonya watanzania kwa vifaa vya upimaji

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetaka watanzania wanaotumia vifaa mbalimbali vya upimaji, kutoridhishwa na upya wake, bali wawasiliane nalo livihakiki usahihi wake.

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YATOA USHAURI KWA SERIKALI KUHUSU KUVILINDA VIWANDA VYA VIFAA VYA UMEME

Na Mwandishi Wetu, Michuzi Globu ya jamii

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kuvilinda viwanda vya uzalishaji wa vifaa vya umeme vilivyopo nchini ili kuongeza tija na ufanisi wa viwanda hivyo vilivyopewa jukumu la kuzalishaji vifaa hivyo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme inayoendelea nchini.

Akizungumza wakati wa ziara ya Kamati hiyo kutembelea kiwanda cha uzalishaji wa vifaa vya umeme na Transfoma cha AFRICAB kilichopo Kurasini jijini...

 

9 years ago

Mwananchi

Kasi ya Magufuli yabaini vyeti feki 219

Ni utaratibu wa kuwabaini watumishi walioghushi vyeti vya elimu kwa lengo la kupata ajira

 

9 years ago

Global Publishers

Kasi ya rais Magufuli yabaini vyeti feki 219

1Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki.

Kasi ya Mawaziri wa Rais John Pombe Magufuli kufanya ziara za kushtukiza na kutoa maagizo kwa watendaji imeanza kufumua uozo baada ya jana kubainika kuwa watumishi 219 kati ya 704 wa serikali wameajiriwa kwa vyeti vya kughushi.

Sakata hilo liliibuliwa baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki kutembelea Idara,vitengo vya Usimamizi wa...

 

10 years ago

GPL

TANGAZO LA KAZI KUUZA DUKA LA VIFAA VYA UJENZI NA UMEME

Anatafutwa kijana wa kuuza duka la vifaa vya ujenzi na umeme KITUO CHA KAZI: Dar es Salaam ELIMU: Kidato cha IV na kuendelea UZOEFU: Mwaka mmoja Kwa maelezo zaidi jinsi ya kuomba nafasi hii piga namba hii ===> 0713 468 393

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KALEMANI ATOA NENO UAGIZWAJI VIFAA VYA UMEME NJE YA NCHI


Veronica Simba – Dar es Salaam
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amesisitiza msimamo wa serikali kutoruhusu uagizwaji nje ya nchi, vifaa vya umeme hususan mashine umba (transfoma) na nyaya na kwamba atakayebainika kukaidi agizo hilo atachukuliwa hatua kali za kisheria zinazohusiana na uhujumu uchumi.Alitoa msimamo huo jijini Dar es Salaam, Machi 12 mwaka huu, baada ya kutembelea kiwanda cha Europe Inc. Industries LTD (TROPICAL), kinachozalisha vifaa hivyo na kujiridhisha kuwa uwezo wake...

 

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WAUNGA MKONO ZUIO LA SERIKALI UAGIZAJI VIFAA VYA UMEME NJE YA NCHI


Veronica Simba – Dar es Salaam
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema inaendelea kuunga mkono zuio la serikali kwa wakandarasi wa miradi mbalimbali ya umeme nchini kuagiza vifaa husika nje ya nchi.Akizungumza jijini Dar es Salaam, Machi 14 mwaka huu, baada ya Kamati hiyo kufanya ziara katika viwanda vya Europe Inc. Industries Ltd (Tropical) na Kilimanjaro Cables (T) Ltd (Africab), vinavyozalisha nyaya za umeme na mashine umba (transfoma), Mwenyekiti wa Kamati husika, Dunstan...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani