Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO LA KAZI KUUZA DUKA LA VIFAA VYA UJENZI NA UMEME

Anatafutwa kijana wa kuuza duka la vifaa vya ujenzi na umeme KITUO CHA KAZI: Dar es Salaam ELIMU: Kidato cha IV na kuendelea UZOEFU: Mwaka mmoja Kwa maelezo zaidi jinsi ya kuomba nafasi hii piga namba hii ===> 0713 468 393

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AFUNGA KAZI MKOANI MTWARA,AHIDI KUSHUSHA BEI YA VIFAA VYA UJENZI

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli,akiwahutubia wananchi wa mji wa Mtwara waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza kwenye mkutano wa kampeni unaoendelea jioni hii katika uwanja wa Mashujaa. 
Dkt John Magufuli amesema kuwa iwapo atachaguliwa kuwa Rais katika uchaguzi mkuu mwaka huu ,Serikali yake itashusha bei ya vifaa vya ujenzi hasa bati na saruji,amesema kuwa serikali yake inataka kurahisisha maisha ya watanzania wote na hivyo...

 

5 years ago

Michuzi

OPESHENI YA DUKA KWA DUKA YAANZA PWANI KUBAINI WAFICHA NA KUUZA SUKARI BEI JUU-WANKYO

NA MWAMVUA MWINYI PWANI .
JESHI la polisi mkoani Pwani limetangaza msako wa duka kwa duka ,kuwabaini wafanyabiashara ambao wameficha sukari na kuuza kwa bei isiyo elekezi ya sh .2,700 kwa kilo moja ,ambapo ni kinyume cha sheria . 
Kutokana na msako huo ulioanza mkoani hapo ,jeshi hilo ,limeshakamata jumla ya kilo 1,037 za sukari pamoja na watuhumiwa saba wanaodaiwa ni wafanyabiashara walioficha sukari hiyo. 
Akizungumzia tukio hilo ,kamanda wa polisi mkoani hapo ,Wankyo Nyigesa alieleza kuwa...

 

10 years ago

GPL

MTITU AZINDUA DUKA LA VIFAA VYA NYUMBANI KARIAKOO DAR

Mtitu akizungumza na watu waliohudhuria uzinduzi huo (hawapo pichani), kuhusu baadhi ya vifaa vinavyopatikana dukani hapo. Wahisani wa Mtitu katika duka hilo wakiingia ndani muda mfupi baada ya uzinduzi kukamilika.
Baadhi ya wafanyakazi wa duka hilo…

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YATOA USHAURI KWA SERIKALI KUHUSU KUVILINDA VIWANDA VYA VIFAA VYA UMEME

Na Mwandishi Wetu, Michuzi Globu ya jamii

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kuvilinda viwanda vya uzalishaji wa vifaa vya umeme vilivyopo nchini ili kuongeza tija na ufanisi wa viwanda hivyo vilivyopewa jukumu la kuzalishaji vifaa hivyo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme inayoendelea nchini.

Akizungumza wakati wa ziara ya Kamati hiyo kutembelea kiwanda cha uzalishaji wa vifaa vya umeme na Transfoma cha AFRICAB kilichopo Kurasini jijini...

 

10 years ago

Michuzi

TWIGA CEMENT YAMWAGA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MRADI WA UJENZI WA MAKAZI YA ASKARI GEREZA WAZO JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alphonso Rodrudges(suti ya bluu) akikabidhi mfano wa hundi yenye kiasi cha Tsh. Millioni Miamoja kwa Uongozi wa Jeshi la Magereza zitakazotumika katika ujenzi wa nyumba zenye hadhi kwa Maofisa na Askari wa Gereza Wazo,Wilayani Kinondoni (wa pili kulia) ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil(wa tatu kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja. hafla hiyo imefanyika leo Novemba 17, 2014...

 

10 years ago

Vijimambo

TWIGA CEMENT YAMWAGA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MRADI WA UJENZI WA MAKAZI YA ASKARI GEREZA WAZO JIJINI DAR ES SALAAM

  Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alphonso Rodrudges(suti ya bluu) akikabidhi mfano wa hundi yenye kiasi cha Tsh. Millioni Miamoja kwa Uongozi wa Jeshi la Magereza zitakazotumika katika ujenzi wa nyumba zenye hadhi kwa Maofisa na Askari wa Gereza Wazo,Wilayani Kinondoni (wa pili kulia) ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil(wa tatu kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja. hafla hiyo imefanyika leo Novemba 17, 2014...

 

5 years ago

Michuzi

ALLIANCE ONE YATOA VIFAA VYA UJENZI VYA MILIONI 23.9 KWA WILAYA MBILI ZA MKOA WA TABORA

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(katikati) akizungumza na waandishi wa habri leo wakati wa kupokea vifaa vya ujenzi kwa ajili ya Wilayaya Uyui na Tabora kutoka Kampuni ya Tumbaku ya Alliance One Tanzania (AOTTL) vyenye thamani ya shilingi milioni 23.9.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (wa tatu kutoka kulia) akiipokea nondo za ujenzi kwa ajili ya Wilaya ya Uyui na Tabora kutoka MKurugenzi wa Uzalishaji wa Kampuni ya Tumbaku ya Alliance One Tanzania (AOTTL) David Mayunga (wa pili...

 

9 years ago

Mwananchi

TBS yabaini vifaa feki vya umeme jua

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limewataka wafanyabiashara wanaouza bidhaa hafifu za moduli feki za umeme nuru ‘Solar Power Panels’ kuziondoa madukani haraka, kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

NHC na changamoto ya vifaa vya ujenzi

MAHITAJI makuu ya mwanadamu ni kupata makazi, lishe bora na uhakika wa huduma za afya. Kinapokosekana kimoja kati ya hayo, ufanisi wa kufanya kazi na kujiletea maendeleo unapungua na kumfanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani