Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OPESHENI YA DUKA KWA DUKA YAANZA PWANI KUBAINI WAFICHA NA KUUZA SUKARI BEI JUU-WANKYO

NA MWAMVUA MWINYI PWANI .
JESHI la polisi mkoani Pwani limetangaza msako wa duka kwa duka ,kuwabaini wafanyabiashara ambao wameficha sukari na kuuza kwa bei isiyo elekezi ya sh .2,700 kwa kilo moja ,ambapo ni kinyume cha sheria . 
Kutokana na msako huo ulioanza mkoani hapo ,jeshi hilo ,limeshakamata jumla ya kilo 1,037 za sukari pamoja na watuhumiwa saba wanaodaiwa ni wafanyabiashara walioficha sukari hiyo. 
Akizungumzia tukio hilo ,kamanda wa polisi mkoani hapo ,Wankyo Nyigesa alieleza kuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WATEJA WA DUKA LA WOOLWORTHS KUNUNUA KWA NUSU BEI PASAKA

Meneja Masoko wa maduka ya Woolworths Tanzania,Edwina Barongo akisisitiza jambo kwa wateja waliofika katika Uzinduzi wa punguzo la bei ya bidhaa zote zinazouzwa katika Maduka yote ya Woolworths yaliyopo Arusha na Dar es Salaam, Punguzo hilo litadumu kwa muda wa wiki Nne ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Pasaka.Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.Mgeni rasmi (Loyal Customer) Manfred Ngantunga (kulia) akizindua duka la Woolworths lililopo mtaa wa Ohio jengo la...

 

10 years ago

GPL

TANGAZO LA KAZI KUUZA DUKA LA VIFAA VYA UJENZI NA UMEME

Anatafutwa kijana wa kuuza duka la vifaa vya ujenzi na umeme KITUO CHA KAZI: Dar es Salaam ELIMU: Kidato cha IV na kuendelea UZOEFU: Mwaka mmoja Kwa maelezo zaidi jinsi ya kuomba nafasi hii piga namba hii ===> 0713 468 393

 

11 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LAZINDUA DUKA LENYE BIDHAA ZA BEI NAFUU MBEYA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Mbarak Abdulwazkil pamoja ns Kamishina wa Magereza Nchini John Minja wakifunua pazia la jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa Duka la Magereza  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Mbarak Abdulwazkil akikata utepe kuzindua Duka la magereza (MAGEREZA DUTY FREE SHOP)
MAGEREZA DUTY FREE SHOP.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

BEI JUU YA SUKARI YAWALIZA WANANCHI KIBAHA

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI

BAADHI ya maduka wilayani Kibaha yanauza sukari kwa bei ya sh. 3,200-4,000 kwa kilo ambayo ni kinyume na bei elekezi ya serikali kwa mkoa wa Pwani ambayo ni sh. 2,700.
Kero hiyo imejitokeza kutokana na wauzaji wa maduka ya maeneo mbalimbali ya wilayani ya Kibaha hayana bidhaa hiyo muhimu ,na sasa sukari imekuwa adimu.
Wananchi wakizungumza walisema sukari imekuwa ikiuzwa kwa kificho ambapo wakiwa na wasiwasi wanasema sukari hamna wakiogopa kukamatwa na polisi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapinga kufungwa kwa duka la Uchumi TZ

Wafanyikazi waliojawa na hasira kutoka kwa duka la jumla la Uchumi Supermarket wamelazimisha kufungwa kwa mojawapo ya maduka hayo nchini Tanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Tigo wafungua duka huduma kwa wateja

Kampuni ya Simu za Mkononi Tigo imefungua maduka 50 nchini ili kurahishisha upatikanaji huduma kwa wateja wake.

 

10 years ago

GPL

KWA NINI WENGI HAWAFANIKIWI KWA BIASHARA YA DUKA?

Wengi wamekuwa na ndoto za kufungua maduka wakiamini yanaweza kuwa daraja la kuelekea kwenye mafanikio. Siyo mbaya kwani nawajua wengi tu ambao wamefanikiwa kwa kuanzisha vioski, baadaye maduka na sasa ni wafanyabiashara wakubwa. Lakini wakati baadhi wakifanikiwa kwa njia hiyo, wapo ambao wamekuwa wakifungua maduka na baada ya muda kuyafunga huku wakiwa wameambulia hasara. Utakuwa shahidi huko mtaani kwamba, kumekuwa na utitiri...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM YAZINDUA WIKI YA WATEJA KWA KUFUNGUA DUKA JIPYA DAR

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Bw.Keith Tukei akikata utepe kuzindua duka la Vodacom la Ubungo lililopo eneo la flats za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wanaoshuhudia katikati ni Farida Yahya mteja wa kwanza kufika dukani hapo na  wa kwanza kulia ni Meneja wa duka hilo Bi.Jacqueline Twissa.Baadhi ya wafanyakazi katika duka hili wakijiandaa kuanza kupokea wateja muda mfupi baada ya kuzinduliwa rasmi leo.Wafanyakazi wa Vodashop Ubungo katika picha ya pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani